THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,759
- 3,319
Habari Mwanajukwaa la Sports.
Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.
Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani kwa sababu ya Uigizaji wao.
Watu wanaVunja Benki wanaenda kuleta KOCHA wa Gharama wanahisi Mpira unakamilishwa na Kocha Pekee inachekesha sana.
Timu ya Mpira ni Taasi kama Taasisi zingine na Kila Taasisi ili iwe na Mafanikio lazima iwe na Uongozi Madhubuti.
Huwez kuleta wafanyakazi wachapakazi wakat Directors au CEO ni wapiga URABU..Lazima na wao wawe wapigaji wa kazi kwelikwlei.
Mifano ipo mingi inayo support hiii Mada yangau tena mifano ya saiv hata ya zamani ipo.
Hizi ni Baadhi ya vilabu vilivyowahi kua na Mafanikio wakat flani au hadi sasa na hilo lilifanikishwa na Uongozi Mzuri
BARCA
MADRID
MAN CITY
AC MILAN
BAYERN
AJAX
JUVENTUS
ARSENAL
CHELSEA
AL AHALY
MAMELODI
Mifano ipo Lukuki hivi Vilabu vimewahi ongozwa na Makocha wa kawaida na ambao hata hawakua na Status yoyote ila vVikafanya Makubwa na hadi vilipofika hapo ni sababu ya uongozi Mzuri sio Makocha wazuri Pekee.
Weken viongozi wenye maono na wapenda Football,sio lazima wawe wa Tanzania taften hata watu kutoka Nje waje wawasaidie.
Hii Mada ni special kwa Team zote za Tanzania,hasa hasa hizi Giants AZAM,YANGA,SIMBA.
Ila kuna Mmoja inamhusu sana kwa Sasa.
#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE