Hakuna mwanaume rijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja tu

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,816
6,394
Amicus Curiae is finally back.

Awali ya yote natumaini hamjambo.

Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.

Hakuna mwanaume rijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo ktk karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lazima yeye ndio aombe kamchezo, wakati kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference?

Mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena wkt mwingine unalazimisha na yeye ndio ana pay bills, wakati kuna mwanamke mwenzio somewhere ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona?

Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo?

Kwa mliooana, mumeo karudi home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wakati hujathibitisha, yani mawivu yako tu yanakuwehusha, wakati kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye hiliki, anakula chakula kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo?

Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja sababu hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sisemi michepuko iendelee lkn hiyo ndio hali halisi, mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau tupunguze michepuko ila sio tuache kabisa.

A.C
 
Huo ni mtazamo wako,sikulaumu!,kuwa na pair moja tu inawezekana sana,kuchepuka ni tabia,mwenendo na hulka ya mtu binafsi,sio lazima kila mtu awe hivyo!

Mkuu rejea uzi wangu, nimesema wanaume LIJALI, sio wanaume wote....
 
Kama hizo ndio sababu then hao "Wanaume" wapo weak. Nilifikiri ungetoa sababu za sayansi ya kimaumbile ambazo zimethibitishwa kumbe blah blah tu na assumptions

Ambao wako weak ni wanaume au wanawake? Ofkoz ni wanawake, na ndio maana tunautumia udhaifu wao kuchepuka..
 
Kuna dada mmoja alishawai kucoment huku simkumbuki alisema hivi " mnatutia aibu sana waume zetu, tunajua kabisa hamuwezi kitu kitandani bao moja tu tena la sekunde, alafu kila siku mnachepuka. akamalizia akisema " sisi wake zenu ndio tunaona aibu" mwisho wa kumnukuu.
 
Back
Top Bottom