''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

unapofanya utafiti angalia sample yako. sasa yeye staff wa bar, wateja wake wa hivyo hivyo, anawezaje kugeneralize hizo findings kwa wanawake wote?
Royna hamna mtu aliyefanya utafiti hapa...hapa ni mahali pa kutoa mastresi hamna mtu anataka kuumiza kichwa huku..... yalikua ni mazungumzo kwa hiyo hapa tujadili tu na wala hauitaji kutumia nguvu nyingi kufikiri.
 
huu uzi unatukana wote...koz kila mtu katoka kwa mama.. mmmhhhh..

Hautukani mtu mkuu...... hata mimi sijui kama baba yangu ni Genuine... anayejua ni mama yangu tu...na hii ina apply kwa wote tuliozaliwa na wanawake... kwa hiyo usiogope.
 
Source of information - barmaid...
how reliable is the information? Hizo takwimu zake amezipata kwenye which group? Labda mashoga zake + herself...
 
kikawaida watenda dhambi hupenda kulazimisha wasio na dhambi nao watende dhambi,au hutoa takwimu za kidhambi dhambi kama hizi.wema hawatakwisha humu duniani japo watasalia wachache.ila wake kwa waume wengi walio ndoani ni kitu cha kawaida siku hizi.sio wote

Well said.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom