Hakuna Maji Kinondoni kwa mwezi sasa

saryia toly

Member
May 29, 2014
6
0
Nikisema ni zaidi ya Mwezi sasa Kinondoni hatupati maji ya Dawasa unaweza usiamini. Hatujui kama ni mgawo, au ni tatizo gani. Hakuna taarifa yoyote.

Mimi naishi Kambangwa, ni Mwananyamala japo wengi tumezoea kupaita Kinondoni. Mara ya mwisho maji ya bomba kutoka ni zaidi ya wiki 4 zilizopita. Mvua zimenyesha sana, tunashangaa sababu ni nini?

Hakuna maji kwenye mabwawa? Mbona hizi shida tulizisahau kipindi cha nyuma.? Waziri wa maji analifahamu hili? Kama hapa mjini hali iko ivi vipi huko vijijini?

Tunaomba kujua ni nini tatizo?
 
Poleni sana, bila kuitoa CCM madarakani, hizi kero kuisha siyo leo na hata milele Amina
 
Ni hatari sana kwa mjini kukosa maji. Kweli fisiemu ni mzigo mzito kwa wananchi.

Miaka 60 ya uhuru nvua bahari na mito yote bado kinondoni hakuna maji.

Tukisema fisiemu ni ushuzi muwe mnatuelewa
 
Back
Top Bottom