Hakuna laana kubwa kama kuichagua CCM

ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa kuichagua ccm ni sawa kuchagua shetani atawale maisha yako
 
Sasa kama wameua elimu we unadhani ni nini kimebaki, , Ccm itaendelea kutawala, hadi yesu arudi.... Watanzania wenyewe hamjitambui....
 
Chama Cha Mashetani (CCM) kwa kweli kimeshindwa kuongoza nchi. Wewe ukitaka kujua ukweli angalia rais wetu tu, yaani mshikaji hana hata haibu.....yeye kazi kucheka tu ila kutatua jambo muhimu hawezi na waziri mkuu wake ndiyo kabisaa bingwa wa kulia akiwa hana jibu. Analia ili asiulizwe maswali.
 
nakubaliana na wewe kwa mengine. ila hilo la kusema wameua elimu ni uongo, elimu haijawahi kuwa hai tanzania tangia uhuru. kwa lugha ingine mzee mchonga hakuwekeza kwenye elimu hata kidogo.

Ccm ni chama chenye laana hivyo kukichagua ni kuchagua laana miaka 53 nchi imeliwa imebaki mifupa, watanzania wanaishi kwenye umasikini uliopindukia pamoja na nchi kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingetumika kunufaisha wananchi husika.
Huduma za kijamii ni mbovu
Elimu ambayo ingetumika kumkomboa mwananchi wameiua makusudi ili waendelee kututawala
Rushwa imekithiri masikini hana haki hata watoto wa masikini wameishia kuwa walimu maana kwingine hupati kazi bila rushwa na kujuana,
Kibaya zaidi deni la Taifa linapaa hivi hiyo mikopo inafanya kazi au mnakopa mje kulipana posho
NAKULILIA NCHI YANGU.
 
kama kuna laana kubwa watanzania itaendelea kuwasakama mpaka mwisho na hakuna matatizo yatakayowaisha hata aje kuhutubia papa benedicto ni laana ya kuichagua ccm madarakani.

Najua wapo wasioamini lakini ukweli halisi ni huo kwamba haya matatizo yote mnayoendelea kupiga kelele mara unyanyasaji,ufisadi,albino ni kutokana na laana za ya kuichagua ccm.

Kama kweli unataka kuondoa laana ya mkosi kwenye familia yako usichague kabisa ccm vinginevyo ndoa zenu zitaota mbawa bila kujua chanzo nini nini kumbe jibu unalo.


dah! Nimekusoma mkuu , kuuumbeee !
 
Escrow ni moja ya scandel inayopiganiwa kuzimwa na watawala kwa nguvu na akili zao zote.
-aisee inauma sana na inakera pia,chadema simama imara soon utakabidhiwa nchi hii iliyo megwa kila mahala:
Mara ooh! Huu ni mgodi wa ritz1,ooh!mara geta ni vichi kamato,ooh!buzwagi ni ya mkuu wa kaya!
-ndio maana vijana kina zitto wamejikatia tamaa na kuamua kuwa mafisadi tu.
-lakini sinto kata tamaa hadi siku ya ukombozi itimie.
Ni mimi.

Watakabidhiwa nchi chakavu washalamba bot yoyote empty
Lambs na wewe ukoulipo
 
nakubaliana na wewe kwa mengine. ila hilo la kusema wameua elimu ni uongo, elimu haijawahi kuwa hai tanzania tangia uhuru. kwa lugha ingine mzee mchonga hakuwekeza kwenye elimu hata kidogo.

Mtu ukimuuliza umemaliza shule anasema ndiyo, Huku ni darasa la 7 tuu!
 
Mkuu unadhani basi watanzania huwa hawaichagui ccm bari wanaiba kura za wanainchi mbugi
 
Hizo ndiyo ofisi za wilayani
 

Attachments

  • 1402572523807.jpg
    1402572523807.jpg
    77.9 KB · Views: 33
Mtu ukimuuliza umemaliza shule anasema ndiyo, Huku ni darasa la 7 tuu!
mkuu ni aibu. kuna kitu hata watu hawakifikirii. mfano mzuri kujua kusoma na kuandika sio kwamba umefuta ujinga. kwa sababu hakukusaidii chochote. huna knowledge yoyote. hujui kilimo kinakuwaji wala biashara nk. is just unajua kuunganisha herufi. nadhani tunahitaji mtazamo mpana sana wa haya mambo.
tunapowaita watu wasomi angalau wawe na utaalamu. sio lazima uwe wajuu sana angalau hata ule basic. we have a long to go.
mtu kijijini anajua kusoma, lakini ukiona anavyopanda mazao yake utachoka. aina 10 za mazao ndani ya shamba moja. sasa hapo ujinga tunaohubiriwa umefutwa ni upi?
 
Back
Top Bottom