Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

Ukikaa na kuandika mtandaoni muda mrefu na maneno mengi unaingiza sh ngapi? Sisi vijana siku hizi tu wavivu sana, tunasingizia kila kitu, hatutaki kufanya kazi, hatutaki kulima, maofisini ni kuchati na rushwa kwa kwenda mbele.

Umeajiriwa juzi leo unataka umiliki gari nyumba nzuri, huku maofisini ni Facebook, whatsapp, badoo na Instagram.

Kila kukicha tunalalamika hakuna fulsa, hakuna ajira, huku wageni wakizidi kujinyakulia maeneo na rasilimali zetu.

Wageni wanachukua maeneo wanalima wanatajilika sie tunalalamikia serikali, vijana tuamke tufanye kazi, tuache uvivu.

Tutengeneze hata vinyago tuuze tumekalili ni kazi ya wamakonde, kulima wasukuma.

Kijana wa Tanzania amka fanya kazi kwa maendeleo ya kwako, familia yako, jamii yako na Tanzania yako
Tehee katika fursa za kufanya umeiona hiyo ya vinyago..unapozungumzia kitu jaribu kuangalia na mazingira kwa kuwaelekeza vijana kuwa mazingira fulani ukifanya kitu fulani kitakutoa usiishie tu kusema kijana piga kazi kwa nadharia mana itakuwa ni blah blah kama stori za kwenye vitabu
 
Isitoshe hawana ardhi,hawana mitaji na wala hawakopesheki maana hata dhamana hawana na pia hata wazazi wao nao ni masikini kama wao.

Kama haitoshi,ukianza tu kabiashara chako TRA/Manispaa hao na kila aina ya tozo!Vyuo vyetu havina hata mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitimu wake!Yaani hata hujaandaa sera rafiki kwa vijana hawa kujiari teyari umeanza kuwaandama!!

Sasa vijana hawa unawakamata kwa kipi hasa?Umejenga/umehamisisha ujenzi wa viwanda na wakakataa kufanya kazi?Umetoa mamilioni kwa kila kijiji wakakataa kuchukua mikopo hiyo?Kwenye jimbo ulilokuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 20, umetengengeneza fursa ngapi za ajira kwa vijano katika hilo jimbo?

Kama kweli una uchungu na vijana hawa,ni kwanini basi usisitishe ununuzi wa mashangingi na sitting allowance za wabunge na badala yake fedha hizo ukaagiza zitolewe kama mikopo kwa vijana au kwa kila kijiji?

Mh.,kuna maeneo unatakiwa uende taratibu na nyie mlio karibu yake mshaurini vizuri huyu mh.wetu.

Otherwise,as a nation,we are heading for trouble under this new regime!!
Wacha upuuzi wa kijinga , hawa vijana wanahitaji chakula kila siku, wanahitaji kuvaa na mahitaji mengine muhimu haya mamabo yote wanayapataje kama hawatafanya kazi
Wanakula chakula kilichozalishwa na nani ? Acha uvivu
 
Kuwa mpinzani you dont have to fuckin' protest every move. Magufuli is doing the best for this country.huwezi kushinda unacheza pool table halafu utegemee maisha bora yaletwe kwenye kisosi.Huna kazi do the fucking self educating kama alivyosema Lowassa elimu elimu elimu
 
Jiulize ni kwanini biashara hizi hawazifanyi huko vijinini na wanakimbilia mijini.Pia jiulize kama wana uhakika na biashara zao hizo huku mijini na zaidi jiulize mgambo wa jiji/miji huwa wanawafanyia nini na pia jiulize huyu mama ntilie ana sera gani iliyoandaliwa ambayo ni rafiki kwake inayompa uhakika wa biashara yake hiyo.
Jibu swali, mbona kina mama walio ktk mazingira hayo hayo hawachezi pool na asubuhi unawakuta wao wanawajibika?? Ni uvivu tu unao promote humu, unawaweka upofu kuwa hawatatoka kihalali mpaka JPM awawezeshe!
Acha ujinga, najua wasio na ajira wakiwa wengi kwenu chadema ni mtaji na mko bize kuwafanya vijana wasiwe wabunifu, waendelee kuwa wavivu wa kufikiri nje ya box hivyo hivyo ili muwatumie!
Hovyo kabisa.
 
jaman Rungwe maji teleee mabonde empty unasema hakuna umwagiliajiiii shame on you
 
Mh president katika siku ambazo sijamuelewa ni leo,nimewaza sana yale yalikua akilini mwake au kuna mtu kamshauri?vitu vya ajabu sana aisee,nimkumbushe tu kua yeye ni mkuu wa nchi na maelezo aliyoyatoa leo napata mashaka kama hayatomsumbua baadae.
Kusema kuwa HAIWEZEKANI KINA MAMA NA WAZEE WAKO MASHAMBANI ALAFU VIJANA WANACHEZA POOL TABLE???
Kama hujaelewa, sio kosa la mfumo, ni la kwako!
 
Kuwa mpinzani you dont have to fuckin' protest every move. Magufuli is doing the best for this country.huwezi kushinda unacheza pool table halafu utegemee maisha bora yaletwe kwenye kisosi.Huna kazi do the fucking self educating kama alivyosema Lowassa elimu elimu elimu
Umebakiza kuwainamia hao wenye lugha yao!
 
nilichokishangaa ni pale alipowaambia hao wakuu wa Mikoa msiogope kufanya maamuzi hata yakiwa mabaya yatarekibishwa mbele ya safari

anawapa kibali cha kufanya maamuzi yoyote yale wasitie hofu haijalishi mazingira yaliozunguka maamuzi hayo kwani fursa ya kuyarekibisha itakuwapo tu

kweli hii ni kauli tata.
 
Nyi mateja nawaambieni zile M50 atakazo toa then mnaungamkono vijana wacheze pool asubuhi!!!!
wakamatwe tuu na nyie mkamatwa
 
Back
Top Bottom