Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Kutokana na msongamano wa magari ulivyo Dar es Salaam na utendaji wa Serikali ulivyo, hali ya foleni hapa Dar haitakaa iwe na nafuu yoyote ile. Yangu macho. Wakiweza kumaliza tatizo la foleni nitatembea kwa miguu kutoka Ubungo hadi Buguruni angalau mara moja kila miezi mitatu.