Hakika ni mashujaa

Negative

Member
Dec 26, 2010
17
0
Pamoja na yote ambayo chama tawala na jeshi la polisi wanasema kuhusiana na vifo vya ndugu zetu pale arusha, nafsi yangu inawatambua watu hawa kama mashujaa wa kweli katika ukombozi wa KWELI katika nchi hii, damu yao haijamwagika bure, siku moja italeta uhuru.. Mungu na aziweke pema roho zao
 
pamoja na yote ambayo chama tawala na jeshi la polisi wanasema kuhusiana na vifo vya ndugu zetu pale arusha, nafsi yangu inawatambua watu hawa kama mashujaa wa kweli katika ukombozi wa kweli katika nchi hii, damu yao haijamwagika bure, siku moja italeta uhuru.. Mungu na aziweke pema roho zao

amina
 
Back
Top Bottom