Hakika bodi ya mikopo inastahili pongezi..idumu milele na hata milele..

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata div 3 ya 16.Kutokana na hofu nilichagua kozi za education zote but kutokana na competition nikawa not enligible so ikabidi nichague course kipenzi changu ya moyoni nayo ni account pale IAA.MUNGU si athuman nikapata na mkopo wamenipa Mil 2,732000 japo si nyingi ila nimefurahi sana.HAKIKA BODI YA MIKOPO IDUMU MILELE NA MILELE AMINA.
 
idumu haya ila ukifika chuo utaskia njaa hadi uilaani milele na milele
 
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata div 3 ya 16.Kutokana na hofu nilichagua kozi za education zote but kutokana na competition nikawa not enligible so ikabidi nichague course kipenzi changu ya moyoni nayo ni account pale IAA.MUNGU si athuman nikapata na mkopo wamenipa Mil 2,732000 japo si nyingi ila nimefurahi sana.HAKIKA BO
kijana unatakiwa kujua kuwa kwa sasa unaelekea katika maisha mapumu ya kungojea chakula cha kuahidiwa japo umeona kikiwa kinapikwa
kwa ufupi unatakiwa ujiandae na usumbufu wa bodi,usiisifie leo na kesho ukaiponda
 
Hongera zako dogo lakini kumbuka kusoma kwa bidii sio unachanganywa na boom unasahau kilichokupeleka shule
 
Mkuu muda si mrefu utakuwa kiongozi wa migomo,watakavyoanza mazingaombwe yao.Lakini kwa kiasi bodi wataboresha ufanisi kwasababu elimu ya juu kwa sasa ni kete nzuri ya kisiasa
 
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata div 3 ya 16.Kutokana na hofu nilichagua kozi za education zote but kutokana na competition nikawa not enligible so ikabidi nichague course kipenzi changu ya moyoni nayo ni account pale IAA.MUNGU si athuman nikapata na mkopo wamenipa Mil 2,732000 japo si nyingi ila nimefurahi sana.HAKIKA BO
kijana unatakiwa kujua kuwa kwa sasa unaelekea katika maisha mapumu ya kungojea chakula cha kuahidiwa japo umeona kikiwa kinapikwa
kwa ufupi unatakiwa ujiandae na usumbufu wa bodi,usiisifie leo na kesho ukaiponda

good point!.
 
unafurah kuandikiwa kuwa umepata mkopo lakn hautapata hyo pesa had uandamane Chezea bodi ww
 
Wasioiujua bodi wanadhani kupata mkopo ndio mwisho wa stori...Huo ni mwanzo tena unaenda IAA mbali namna hiyo? Jiandae na nauli ya kuja Dar kufuatilia mkopo
 
Hiyo ni habari ya 2012, ushauri wangu kwa wale wote waliopata mikopo kipind cha nyuma Kura wapeleke CCM ili na wadogo zao na watotot zao afaidi Elimu bora kama mliyipata nyie!
 
sijaona chakushangilia! Kwan hicho kipesa ni kwaajili ya chakula bas. Mishe za ada na michango mingine yakupasa kukoma sana, na usije ukaona ni mzigo hadi ukaona sawa na ksema hjasaidiwa kitu kabisa mpaka ukaona ni heri kuahirisha mwaka! Mwenzio nalipiwa karibu asilimia zote na bado ni shida tupu. Chezea pesa ya bodo ww!
 
Leo mnashangilia mikopo yenu, nawashauri kuwakumbuka graduates wa 93, kwani ndo wa kwanza kupinga mipango ya bodi. 2006 ndo implementation ya BODI ilianza, udsm tukaingia mtaani kupinga mission ya bodi. Wakaja na means testing mapungufu yakapungua, lkn walikuwa hawataki kusikia students at private inst. 2007 tuliwakutanisha ndo private instit wakànza kupata mikopo. Furahia leo lkn tambua waliokufikisha hapo. Kuna waliofukuzwa kwa kuipinga bodi. Odwong Odwaa ni miongoni mwao
 
Back
Top Bottom