Hajui private love Sasa ni msala.

mwanzo wetu

JF-Expert Member
May 4, 2014
1,581
461
Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao.

Katika familia hiyo kuna Binti wawili, tumekaa na hii familia kama miaka minne na nikiwa naogopa sana kuwaambia lolote hawa Binti, ila mm sikujua kama mmoja wao ananipenda, akawa ananiigizia vituko mbali mbali ila mm sijali kutokana na heshima nayo mpa kama dada ni Kawa naogopa.

Siku mmoja akaja kunitembelea niliko panga, mvua ikanyesha tukajikuta tunalala wote pamoja Huku mimi ni kiwa Sina wazo lolote, ila kumbe yeye anahisia, akawa ananisukuma Eti Niko na lala vibaya Huku mahasira kibao, mwishowe akaniambia baridi ni Kali ni mkumbatie kweli ikawa hivo, na Mimi binadamu ndugu zangu hisia zikanijia tukafanyana, duh apa Ndio tatizo lilianzia kuheshimiana kukaisha akawa anakuja tunafanya.

Tatizo Liko hapa, mama yake ameona sms zangu ktk simu ya mwanae akiniambia anahamu na mimi na mimi ni Kawa na mjibu njoo mke wangu na kusubili tufanye n.k.

Yule mama akaanza kumuwakia Binti kuwa anafanyaje mapenzi na kakaake, baadae yule Binti akaniambia duh, ukweli Sina amani naombeni ushauri ni fanyeje, ni Muache huyu mdada Ili ni kamuombe msamaha mama yake au ni tulie TU.

Nawasilisha
 
Habari wakuu , ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao, ktk familia hiyo kuna Binti wawili , tumekaa na hii familia kama miaka mi nne na nikiwa naogopa sana kuwaambia lolote hawa Binti, ila mm sikujua kama mmoja wao ananipenda , akawa ananiigizia vituko mbali mbali ila mm sijali kutokana na heshima nayo mpa kama dada ni Kawa naogopa.
Siku mmoja akaja kunitembelea niliko panga ,mvua ikanyesha tukajikuta tunalala wote pamoja Huku mimi ni kiwa Sina wazo lolote, ila kumbe yeye anahisia, akawa ananisukuma Eti Niko na lala vibaya Huku mahasira kibao , mwishowe akaniambia baridi ni Kali ni mkumbatie kweli ikawa hivo, na Mimi binadamu ndugu zangu hisia zikanijia tukafanyana ,duh apa Ndio tatizo lilianzia kuheshimiana kukaisha akawa anakuja tunafanya, .
Tatizo Liko apa mama yake ameona sms zangu ktk sm ya mwanae akiniambia anahamu na mimi na mm ni Kawa na mjibu njoo mke wangu na kusubili tufanye n.k.
Yule mama akaanza kumuwakia Binti kuwa anafanyaje mapenzi na kakaake, baadae yule Binti akaniambia duh, ukweli Sina amani naombeni ushauri ni fanyeje , ni Muache huyu mdada Ili ni kamuombe msamaha mama yake au ni tulie TU.

Nawasilisha
Case ndogo sana hiyo kuwa muwazi kuwa mnapendana , mwanakulifind mwanakuliget 😅😅
 
Una umri gan?
 
Kwani dadaako tumbo moja au mna undgu wa kushea ukoo au famiky friends...? Kama family friends peleka mahari tu kwa mam mkwe
Yule mama hataki kusikia lolote Tayari kanichukia baada ya kumuona na sms zangu za kufayana duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom