OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,680
- 106,017
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali kiuoni haina mkanda.
Nawashauri wanasaikolojia na ndugu za karibu kumsadia. Hata wanaomtumia wajaribu kumuweka sawa kiakili kabla ya kumtumia. Kichaa haaminiki, muda wowote anaweza kukugeuka.
Marakifi wa kweli ni wale wanaoweza kumwambia rafiki ukweli wa kumsadia badala ya kumchekelea.
Imagine unaweza kumsingizia mtu uongo wa kiwango hiki. Achana na timu ya mpira, hata kampuni ya mfukoni tu ya mfanyabiashara aliyeanza biashara juzi hawezi kutengeneza logo yenye picha yake sembuse Mo Dewji.
Nataka kuamini Simba Sc imemtimua Haji Manara kwa sababu ya matatizo ya akili, lakini haikutaka kuweka wazi.