Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
305
1,166
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.

Vile MAKOLO wanavyoteseka na YANGA mwaka huu kwa kukosa kombe hata moja ilihali YANGA kaweka vyote kabatini
 
Kama ni kweli si vizuri viongozi kugombana Hadharani ila Ugomvi wenu binafsi haiwezi kuhusishwa na taasisi mnazo tumikia. TFF ni taasisi ya umma, Yanga ni taasisi ya umma mambo binafsi mnayamaliza ki binafsi.
 
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.
Atasema anaonewa kutokana na ulemavu wake wa ngozi,

Wamemlea Sana ameanza kuwavua nguo.
 
Kama ni kweli si vizuri viongozi kugombana Hadharani ila Ugomvi wenu binafsi haiwezi kuhusishwa na tahasisi mnazo tumikia. Tff ni tahasisi ya umma, Yanga ni tahasisi ya umma mambo binafsi mnayamaliza ki binafsi.
Huwezi kugombana na mama Samia hadharani ukasema mna ugomvi wenu binafsi, ukishakua kiongozi mambo binafsi unaweka mfukoni
 
Vile MAKOLO wanavyoteseka na YANGA mwaka huu kwa kukosa kombe hata moja ilihali YANGA kaweka vyote kabatini

Utopolo akili hamna… suala la makombe linahusiana vipi na msukule kugombana na rais wa Tff!?
Kwa ulivyoandika unatofauti gani na Msukule(Manara).
Msukule hafai kuwa si huko utopoloni tu hata kwenye timu za ndondo kwa sasa hafai!
Na usijifanye hujaona hiyo clip inayosambaa ikimuonyesha akifanya huo upuuzi!
Kwa upuuzi alioufanya miutopolo msivyo na akili mtamtetea na rungu likimdondokea mtasema anaonewa!
 
Huyo Rais wa Tanzania Football Failure nae atulize Tu mshono, yeye ndo anatuharibia mpira wetu. Hana cha maana anachofanya zaidi ya kunenepa Tu.
 
Uliona wapi mtu akagombana na mti?

Shuleni ukishitaki kwa ticha umepigwa na mwenzako anaitwa na mnapigwa wote viboko unajua kwanini? binadamu hakasiriki bila kuchokozwa!

Karia tunajua ni Kolo FC kachukia mno Wananchi kuchukua ndoo zote kashindwa kujizuia hasira zake kamchokoza Manara kakutana nazo za uso! shida iko wapi show show akuanzae mmalize!!

Kama wewe mtoa mada ni Kolo FC na unaona kosa hapo basi ni wote wamekosea na waadhibiwe wote sio Manara peke yake maana maana mtu ana raha zake kashinda Karia unamchokoza why? Huku Afrika ndio mmebaki na ujinga eti mkubwa hakosei na ndo maana tumejaa umaskini kosa ni kosa tu hakuna cha mkubwa wala mdogo adhabu inashukia wote!!

Who is Karia by the way?

Karia ni Kolo FC hafai atupishe tu maana Taifa Stars inafungwa tu wanacheza ovyo ovyo na Karia hana akili ya mpira wala habadili kocha, si bora tumuajiri Nabi kama Mshauri wa Taifa Stars awe anakaa kwenye benchi kusaidia ushauri wa Super Sub Denis Nkane aka Ole Gunner Solskjær aliemlaza Sopu na viatu! !

Msemo wangu huu ukiufikiria utajionea maajabu!

"The fall of Simba has many colours"!!

bado kuna mengine mengi yanakuja wanasimba wamejaa hasira ghadhabu chuki hawaeleweki wanafukuza makocha na wachezaji klabuni, wanatukana viongozi wao kina Barabarani na Mooo , wanagombana na kila mtu mitaani na viwanjani wengine ndo hawa kina Karia, wanagombana sana huko vibanda umiza, wanatukana kila mtu hadi watoto yaani haya makombe kuwanyang'anya imeleta shida sana bora tungewaachia tu Makolo FC yaani wameumia sana mwaka huu wanaumwa na ukiongea sana kuhusu Mayele karibu yao bila ulinzi wa baunsa unaweza kuambulia kichapo aka makonde mazito ya Twaha Kiduku!
 
uliona wapi mtu akagombana na mti?

shuleni ukishitaki kwa ticha umepigwa na mwenzako anaitwa na mnapigwa wote viboko unajua kwanini? binadamu hakasiriki bila kuchokozwa!

Karia tunajua ni Kolo FC kachukia mno Wananchi kuchukua ndoo zote kashindwa kujizuia hasira zake kamchokoza Manara kakutana nazo za uso! shida iko wapi show show akuanzae mmalize!!

Kama wewe mtoa mada ni Kolo FC na unaona kosa hapo basi ni wote wamekosea na waadhibiwe wote sio Manara peke yake maana maana mtu ana raha zake kashinda Karia unamchokoza why? Huku Afrika ndio mmebaki na ujinga eti mkubwa hakosei na ndo maana tumejaa umaskini kosa ni kosa tu hakuna cha mkubwa wala mdogo adhabu inashukia wote!!

Who is Karia by the way?

Karia ni Kolo FC hafai atupishe tu maana Taifa Stars inafungwa tu wanacheza ovyo ovyo na Karia hana akili ya mpira wala habadili kocha, si bora tumuajiri Nabi kama Mshauri wa Taifa Stars awe anakaa kwenye benchi kusaidia ushauri wa Super Sub Denis Nkane aka Ole Gunner Solskjær aliemlaza Sopu na viatu! !

Msemo wangu huu ukiufikiria utajionea maajabu!

"The fall of Simba has many colours"!!

bado kuna mengine mengi yanakuja wanasimba wamejaa hasira ghadhabu chuki hawaeleweki wanafukuza makocha na wachezaji klabuni, wanatukana viongozi wao kina Barabarani na Mooo , wanagombana na kila mtu mitaani na viwanjani wengine ndo hawa kina Karia, wanagombana sana huko vibanda umiza, wanatukana kila mtu hadi watoto yaani haya makombe kuwanyang'anya imeleta shida sana bora tungewaachia tu Makolo FC yaani wameumia sana mwaka huu wanaumwa na ukiongea sana kuhusu Mayele karibu yao bila ulinzi wa baunsa unaweza kuambulia kichapo aka makonde mazito ya Twaha Kiduku!
Dah! Timu inazidi kuwa dampo la vichaa kila kunapokucha.
 
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.
Klipu haitoi picha halisi, nini hasa kilitokea hebu tusubiri
 
Back
Top Bottom