Huna jipya, huna la maana kila leo kusakama degree. Pole sana, hata kama ulilenga kufunza siku zote unaharibu kwa kumuuingiza mwanamke mwenzio unaeiiba mume wake, na usipoangalia uzee wako utakuwa wa shida, una mawazomgando, sikushangai wenye tabia za kung'ang'ania wanaume na kuwasakama wanawake wenzao siku zote wanamitazamo kama yako. una chosha maana huwezi anzisha topic yenye mlengo mwingine ni k tu, na kumsakama mwanamke mwenzio amekukosea nini?kaa jitafakari amekukosea nini kila ukianzisha topic ndani yake lazima umseme, pole sana. Mungu akuhurumia akufungue kwenye vifungo ulivyofungwa na shetani.Shosty umeingia chaka. Sicho nlokisema. Nnesema hainaga digirii na ni ukweli upende usipende utake ustake. Kwani hao wene digirii hebu kawaulize kama mama zao wana hizo digirii, mbona wao wamepata digirii ambazo mama zao hawana? Jibu ni kwamba mama zao wana nidhamu ya unyumba, wametulia ndicho kimewezesha wao kupata maendeleo. Ndipo nkasema kama unadhani digirii ndo kila kitu na kwamba eti aso nayo kakosa yote imekula kwako na mfano nimekupa. Kama una jengine uliza uzuri usije na nyodo lakini.