Haijalishi hata kama nimeoa bado una nafasi kwenye moyo wangu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wana jf nina mdada nilipenda kwasababu zilizopo njeya uwezo wangunikajikuta tumetengana!!ila nimekuwa nikimuwaza kila mara na tunawasiliana ila kwakipindi nilichokuwa sipo naye najua atakuwa na mtu kwani ni zaidi ya miaka2 je niendelee kumsumbua ili nirudiane naye??mimi nampenda!!
 
Halafu umeoa??
Sasa si umuache tu na yeye aolewe?
 
huo utakuwa uharibifu kaka!! muache binti wa watu usitake kumuumiza moyo wake!! inavyoonyesha ww tayari una mke.
 
Halafu umeoa??
Sasa si umuache tu na yeye aolewe?
Wewe unaweza kuusemea moyo??

huo utakuwa uharibifu kaka!! muache binti wa watu usitake kumuumiza moyo wake!! inavyoonyesha ww tayari una mke.
Siyo uharibifu kwani mimi nayeye hatukuwahi kugombana naninajua tulikuwa tunapendana kwa dhati lakini hapa napale nikajikuta nipo magharibi yeye yupo mashariki!!

Tulia na mkeo!Mwache dada wa watu nae apate wake!
Moyo tatizo wewe siunajua kupenda mimi nadhani hutakiwi kuelezwa kwani unajua imekaa vipi!!!

Kama dini yako inaruhu ongeza mke wa pili
Dini yangu ni wajuaji unaruhusiwa mke mmoja tu!!nanimpaka kifo kiwatenganishe huo siufisadi wa warumi???
 
USIMSUMBUE TENA!!!Japo hujaeleza kama una mke tayari au vipi na yeye anakwambia ana mtu au vip!!!Kama wote mna watu wenu basi MSISUMBUANE na mtilie mkazo mahusiano yenu ya sasa.Mbona umekaa bila yeye jirani miaka zaidi ya 2 utashindwa vipi kuendelea kuwa mbali nae.tumia uzoefu huo la sivyo utakuwa na lundo la unaowapenda sijui kama wote utaenda nao sambamba.Nakomea hapa
 
Muheshimu mkeo kaka, maake kama dini yako hairusu muache aendelee na mchakato wake lakini kama dini inaruhusu mvute. Mkeo asije akakufanyia hivyo pia.
 
Eti moyo unapenda sijui unataka!Wakati unaoa hukufikiria hayo yote?Kama ulikua unampenda sana ungemtafuta/msubiria!Sio umeshajitoa kwa mwingine alafu leo hii unataka kumtenda!
 
Kweli ubinafsi ni kitu kibaya sana, sasa kama kweli mlikuwa mnapendana kwa nini hamkuoana, ukamuacha ukaenda kuoa mwingine... then unamdanganya unampenda!!! Wewe nenda kwa mkeo hayo mengine tuachie sisi!!!:rain:
 
Wanaume wa hivi natamanigi niwachape kama watoto wa wadogo!!!
 
Wewe unaweza kuusemea moyo??

Siyo uharibifu kwani mimi nayeye hatukuwahi kugombana naninajua tulikuwa tunapendana kwa dhati lakini hapa napale nikajikuta nipo magharibi yeye yupo mashariki!!

Moyo tatizo wewe siunajua kupenda mimi nadhani hutakiwi kuelezwa kwani unajua imekaa vipi!!!

Dini yangu ni wajuaji unaruhusiwa mke mmoja tu!!nanimpaka kifo kiwatenganishe huo siufisadi wa warumi???
Kuna wakati inabidi kuishi kwa kuamua na sio kufuata moyo unataka nini...
Ulipoamua kuoa, uliacha kuufuata moyo wako, wakati ulikuwa na nafasi ya kuvumilia na kumsubiri huyo umpendaye!
Ninaamini bado unaweza kuamua kumpenda huyo mke wako uliyenaye, ni uamuzi na inawezekana ukiamua kuacha kumuwaza huyo ex-wako!
Dini yako sio fisadi, ila ni kwa sababu walijua sio rahisi kuugawa upendo wako kwa wake wawili!
 
mimi hapo wanaume ndio mnaponishinda.....inakuwaje mkishaoa ndio huwa mnajifanya mnawapenda maex wenu.....mimi ilishawahi kunitokea eti mtu kaoa ndio anajifanya anataka kucare....si muendelee na maisha yenu....au ni wivu huwa unawasumbua?...
Mkojeee?
 
msumbue kama bado mnahitajiana muwe pamoja.....hakuna awezaye kumwamulia at last ni uamuzi wake mwenyewe kuwa nawe au kutokuwa nawe....:rain:
 
Back
Top Bottom