Haijalishi hata kama nimeoa bado una nafasi kwenye moyo wangu!

mimi hapo wanaume ndio mnaponishinda.....inakuwaje mkishaoa ndio huwa mnajifanya mnawapenda maex wenu.....mimi ilishawahi kunitokea eti mtu kaoa ndio anajifanya anataka kucare....si muendelee na maisha yenu....au ni wivu huwa unawasumbua?...
Mkojeee?

Duh ni hatari but inawezekana aliruka mkojo akaangukia ... pua.
Nitardihikaje jamani
niliye naye,
nitulie nimpende kwa dhati ili naye anipendi

Kazi kweli kweli mapenzi.
 
Haya ndio matatizo ya kujifanya oooh wife material na huruma za hapa na pale. Yaani mtu anamwacha mwenzake anaempenda tu kwa sababu hana vigezo anavyofikiria yeye vya wife material. au anamwonea tu huruma mtu fulani,tulia nae huyohuyo mwache na yeye atafute wa kwake. Ila kama unahisi atakubali kuwa kimada mwambie tu
 
Back
Top Bottom