Haiba ya mwanakwe ni kuona aibu

Kwa wanaume - hivi utakapofungua picha kama hii ukute ni mkeo/dada yako/Girl Friend wako, utareact vipi?

Kwa wadada - hivi ukijikuta ni wewe mwenyewe live utareact vipi?
he he poa tu si unakua selebrity wa JF bana,usitukate stimu
 
Mianamke mingi ya siku hizi wala haina aibu.
Hata wakati wa majamboz anakukodolea tu, mzee unajinyosha anakuenjoy tu, unamaliza anakuangalia tu, halafu anamalizia kwa kusema ' mi bado nataka'
 
anaogopaa angekuwa amevaa nguo za heshima asingeogopa hapo tatizo yupo nusu uchi na kuna watu wanamfahamu ndo mana kaamua kuficha uso.hivi msichana kupendwa ni mpaka avae vinguo vya ajabu? Akivaa gauni lake au suruali yake isiyombana au sketi ndefu ya heshima hatapendwa?dada zetu punguzeni kuiga.mavazi mara nyingi humwelezea mtu alivyo mtabaki kulalamika hamna bahati ya kuolewa.wanaume wameshtuka.mtabaki vyombo vya starehe then wanawatosa.
wasabato masalia na mujahidina utawajua tu.
Hata soda kwao ni anasa.
 
Kwa wanaume - hivi utakapofungua picha kama hii ukute ni mkeo/dada yako/Girl Friend wako, utareact vipi? Kwa wadada - hivi ukijikuta ni wewe mwenyewe live utareact vipi?

Ujue mkeo/Dada yako/Girl Friend wako hana nidhamu na kama mmeshirikiana kununua nguo hizo na wewe wale wale na kama ni wewe mwenyewe aibu zako mwenyewe
 
mmh!!! mwenyewe kakaa kwenye kigoda.......paja hihaa!! lakini makovu kwenye magoti!! duh!


nadhani wakati yuko mtoto alikuwa anapanda miti ya mizambarawe hayo makovu ni kasheshe tupu..ila kasket nako matata kweli kweli
 
Back
Top Bottom