Hadi saa hii hajarudi toka kwenye KITCHEN PARTY!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wanajamvi yaani hapa ni saa tisa na dakika ishirini na tano nimekaa sebuleni namsubiri Mama V arudi toka kwenye kitchen party aliyokwenda tangu saa nane alasiri! Yaani sielewielewi ati! Sijui nifanyeje aisee! Mwenye wazo!
 
Mpigie simu, huenda amepatwa na tatizo. Kama inawezekana jaribu kumtafuta mtu ambae unadhani alihudhuria hiyo kitchen party, ili kama ana tatizo ulitatue. Hata huko kwenye kitchen party hatufundishwi cheating ya kijinga namna hiyo.

Kama hajalazwa MOI na mhogo wa kiuno na mguu na mkono, umeshakuwa bushoke. Tafakari, chukua hatua!
 
at least you have said something, simu yake haipatikani na ilipofika mida ya saa mbili alisema anazima simu eti imetangazwa kuwa mida ya saa tatu kuna sayari inatoa mionzi kwa hyo anachukua tahadhari,yaani hadi kumi na moja hii nachomoka kwenda kibaruani bado hola,yaani nahisi kweli kuletewa mtoto mchina!
 
haiwezekani akaacha nyumba yake namna hiyo, tafadhali anza kumtafuta, usikute amepata matatizo makubwa, anza kumtafuta sasa, kama kuna unayemjua alikuwa nae kwenye kp anzia hapo
 
Mpigie simu, huenda amepatwa na tatizo. Kama inawezekana jaribu kumtafuta mtu ambae unadhani alihudhuria hiyo kitchen party, ili kama ana tatizo ulitatue. Hata huko kwenye kitchen party hatufundishwi cheating ya kijinga namna hiyo.

Kama hajalazwa MOI na mhogo wa kiuno na mguu na mkono, umeshakuwa bushoke. Tafakari, chukua hatua!

King'asti mida hii kulikoni my dada maan nyumbani vyumba
Vimejaa ukirudishwa utalala wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom