Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Kuna baadhi ya watu hasa vijana wakisoma kuhusu computer kidogo tu basi atakuja kwenye maneno kama virus au spyware ( sikuhizi ) , ukitoka kwenye hayo atakuja katika hacking , cracking na phreaking yote hayo , lakini wengi wanapenda zaidi hacking . wengi wanapenda hii iliwekeza kuharibu kitu Fulani zaidi kuangalia emailza za wenzao na kadhalika .
Leo naongelea kuhusu hacking , phreaking na cracking , ntakuambia kitu hacking ni kitendo cha mtu au kundi Fulani la watu , kuingia katika mtandao wa computer nyingine kwa njia zisizo sahihi , kwa malengo ya uharibufu au wizi wa data ( kumbuka hakuna hacker mjinga na hackers wote wanajuwa wanachofanya ndio maana anajiandaa vya kutosha .
Katika hacking sharti la kwanza ni bora ujuwe angalau lugha 2 au zaidi zinazotumika katika kutengeza programs ili nawe utengeneze zako kwa shuguli zako kama hizo hizo , pia ujuwe jinsi computer zinavyowasiliana ( internet na sheria zake ) Mfano protocols , aina zake , na command kadhaa . Katika operating system unatakiwa ujue angalau linux au unix , hata windows lakini ukifanya hacking katika windows hakuna atakayekusifia kwa sababu nyingi ni rahisi .
Kwenye hacking kuna watu aina 2 , kuna hacker mwenyewe anayeendasha kitendo hicho , na victim ( huyu victim ndio mvamiwa ) sasa kabla ya kuvamia mara nyingi kutumika mtindo wa network scanning ( kuna prorame maalumu kwa ajili ya kufanya scanning unaweza kupata bure katika internet au unaweza tengeneza mwenyewe ndio maana unatakiwa kujuwa kutengeneza programmes kwa matakwa yako .
Akisha fanya scanning , atapata jibu kuhusu computer yako na taarifa zako ( hiyo ni kama computer yenyewe sio safe ) sio safe kama haina firewall au programe yoyote ya kuweza kuilindi mtu kutoka mtandao tofauti kuweza kuingilia computer yako , akisha fanya scanning jibu analopata ni kuhusu computer yako ( IP ADDRESS , OPERATING SYSTEM , USER NAME , GETWAY , ISP ) muhimu zaidi ni GETWAY na Hiyo IP ADDRESS .
Okey akisha pata hiyo basi atajaribu kuingia katika computer yako au mtandao wako , kutumia windows xp ni rahisi zaidi kuingia kuliko zingine , katika windows xp kuna siri nyingi zaidi zimejificha ambazo ni rahisi kujulikana hasa katika internet explorer , drivers za NIC na kadhalika , siwezi kutaja vyote kama una hobby ya hacking ni vizuri ukaaanza kutafuta mwenyewe .
Katika hacking mtu huruhusiwi kutowa siri yoyote , bali kuelekeza tu mengine anafanya mwenywe na kusoma mwenywe mpaka naye aje kuwa mtaalamu zaidi , usichoke kusoma au kutafuta note za ziada , kusoma ili kupat akuelewa zaidi .
Cracking ni Kitendo cha kubadili programe Fulani kwa matakwa yako haswa hizi programe za trial au za demo , kama games na kadhalika , na phreaking ni aina ya hacking pia lakini inatumika kwa njia ya simu mfano kuingilia computer ya mtu kutumia line za simu ( dialing )
Ahsante Happy Hacking
Yona Maro
Kwa wale wanaopenda mambo ya hacking kama mimi haya tena tuanze hapa kuelimishana