Habari zenu waungwana ujumbe wangu wa leo asubuhi huu hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,142
66135_653053201395767_737727059_n.jpg
 
Kama yako yako tuu na mwenzio akipata usikasirike mwombe Mungu siku zote ni mwaminifu atakujali na wewe!
 
Hahaha umenikumbusha shosti alikuta msg ya hawara kwenye simu ya mume 'mapenzi hayashikiliwi kwa plasta'. Hawara mwenyewe keshahangaika nae for yrs. Ilimsaidia kumoveon emotionally
Daaah hii nimeipenda sana, MAPENZI YAHASHIKILIWI KWA PLASTA, King'asti hili nalo neno! Maana plasta huwa inaishaga nguvu na huchakaa so haina budi kuachia. hahahhaahah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom