Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.
Shukrani.
Steve Dii
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.
Shukrani.
Steve Dii
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.
Shukrani.
Steve Dii
hv uliendaga wapi tena?....nilikumiss
Nilichukua break binafsi tu ndugu zangu. Haikusababishwa na chochote muhimu, bali ni mambo ya kawaida tu maishani yaliyopelekea kutoonekana huku jamvini kwa kipindi sasa.Mkuu kilikusibu kipi mpaka ukahadimika kiasi icho au mambo ya kutafuta elimu?
hee Steve Dii siku zote nakufanyanisha na Nyani Ngabu nisamehe sana
Karibu tena natumai umekuja na nguvu mpya
Belinda ndo ugonjwa gani huo huko miguuni?Eeei Steve,good to see you back!!..karibu sana,pole na majukumu!
Nina furaha kuungana nanyi tena. Tuko pamoja.
Shukrani.
Steve Dii
Duuh, aisee, dada wee una hatari kwelikweli.... kuna baadhi ya mambo anapenda kunigezea tu yule Mnyantuzu! Lakini kwa vile nami ninadamu ya unyantuzu na uanakeya, kuna similarities nyingi! Kwa hiyo jamaa akilog in ulikuwa unafikiri ni mambo ya multiple IDs hayo??! lolhee Steve Dii siku zote nakufanyanisha na Nyani Ngabu nisamehe sana
Karibu tena natumai umekuja na nguvu mpya
Bebeh ngalu, hujaacha uzushi tu?! lolMambo ya honey moon hayo! Welcome back
Thanx buddy, and where exactly is that chemba??!Welcome back...
Siku hizi kuna chemba ya Maungamo...
Bebeh ndogosa, kinehe... ukagapandeka aka cheng'we ako wacholaga??! lolTafadhali mama, na mimi niombe radhi. Steve Dii hafikii hata robo ya uhandsome wangu. Sasa sielewi ulikuwa unamfananisha nami kwa minajili au vigezo gani.
Thanks partner! I see the game ain't changed much in here. Btw, I've got push for a Sukuma thread sometime soon, as I wanna learn a few more things on the structure of the language, particularly on addressing individuals during greetings. Nyani Ngabu might come handy here too.Maan, this is more than kupotea. Karibu sana.
Thanks dude!Belinda ndo ugonjwa gani huo huko miguuni?
Karibu Mkuu Steve Dii