Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
hizo ajira zenyewe zitatoka lini? au ndo yatakuwa yale yale kama ya mwaka jana?
hizo habari za kweli????????!!!!!..mbona tume ya ajira inatangaza ajira kilia cku...hivi karibuni auditors 100 wataajiriwa na NAOJana jioni nilikuwa kijijini kwetu. Nikiwa namshauri mdogo wangu alihitimu kidato cha sita nini akasome Chuo kikuu mara ujumbe unaingia kwenye simu yangu
"HAKUNA AJIRA MPYA WALA KUPANDA VYEO MWAKA HUU, AJIRA ZILIZOPO NI UALIMU NA UDAKTARI TU".
Ujumbe ulitoka kwa rafiki yangu ambaye yupo kwenye reliable source of news.
Sababu ni zilezile, ukata ulioikumba serikali. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Kwa watakaoshindwa kupanda vyeo mwaka huu inaweza isiwe tatizo ila waombaji wapya wa kazi.... Sijui!
Kwa mantiki hiyo, kwani ajira zipo serikalini tu? Mbona "private sector" ndio muajiri mkubwa zaidi ya Serikali.
Hapa ndipo utakapojua aina za elimu tunazosoma. Makelele meengi na "degree" zetu. Degree kwenye makaratasi, kichwani hakuna independence. Viingereza viiingi vya kutazamia tamthilia na kuwatisha makonda.
Kwa mantiki hiyo, kwani ajira zipo serikalini tu? Mbona "private sector" ndio muajiri mkubwa zaidi ya Serikali.
Afadhali kujipa matumaini yasiyokuwepo. Ni hivi majuzi tu serikali ilitangaza kuchukulia hatua mafisadi, yako wapi? Ikatangaza kushusah bei ya mafuta badala yake sasa mafuta yanauzwa bei ya juu na hayapatikani....Pragmatic society with double talkHauko specific!Topic yako itafanya watoto wasiende prep.Mbona hivi majuzi Serikali ilitangaza mwaka huu wa fedha itaajiri watumishi wa Kada za Kilimo kwanza(Wazee wa SUA) 5000 Na Ushei!
Kazi zipo we sema si kama zile za kujaza watu Diamond Jubilee!
Mkweche nimejiari!