Habari iliyomo humu ni hatari kwa mbavu zako

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
260
SHIDATUPU alikuwa na mkewake lakini kila alfajiri SHIDATUPU alikuwa anajamba kwa nguvu kwa makusudi kabisa.Mkewe alikuwa anachukizwa sana na tabia hiyo alimwonya mara nyingi lakini SHIDATUPU alikuwa anaendelea na mchezo.Mkewe akamwambia wewe endelea na mchezo wako ipo siku ukija kujamba utatoa na utumbo SHIDATUPU akamcheka sana.Basi siku moja kabla hakujapambazuka mkewe akadamka kimyakimya akaenda akachinja kuku akatoa utumbo wa kuku baada ya hapo huku mumewe SHIDATUPU akiwa amelala mkewe akachukua madawa ya usingizi akampulizia mumewe ili alale fofofo kabisa alipo maliza kumpulizia madawa ya usingizi mkewe akachukua utumbo wa kuku ule mnenemnene na kuuweka panapohusika(TAFSIDA IMETUMIKA) kwa mume wake basi baada ya hapo mkewake akawahi sana kwenda kazini bila kumuaga mume wake.Basi mume wake akaamka kama kawaida yake akajamba kwa nguvu sana safari hii baada ya kujamba akahisi kama kunakitu kuangalia akakuta utumbo umemtoka .Hakuamini macho yake akaenda kujiangalia kwenye kioo akakuta utumbo .INAENDELEA
 
Hakuamini macho yake akaenda kujiangalia kwenye kioo akakuta utumbo unamnin"ginia basi huku akiwa na hofu na kuchanganyikiwa SHIDATUPU akaamua kujipa huduma ya kwanza kwa kuurudishia utumbo ndani baada ya hapo akamwita Mkewake mama julii!!! mamajulii!! mama julii lakini mkewe hakuwepo basi akapiga simu dereva teksi akajakumchukua ili kumpeleka hospitali.Akiwa njiani kuelekea hospitalini mkewe akampigia simu akamwambia usisumbuke kwenda hospitalini nilikuwekea utumbo wa kuku.SHIDATUPU alikasirika sana na mkewe aliporudi nyumbani alipigwa kipigo cha kufamtu. Baada ya hapo SHIDATUPU akaacha kabisa tabia yake aliyokuwa anaifanya kila ikifika asubuhi na ikawa ndo mwisho wa kujamba ovyo.
 
SHIDATUPU alikuwa na mkewake lakini kila alfajiri SHIDATUPU alikuwa anajamba kwa nguvu kwa makusudi kabisa.Mkewe alikuwa anachukizwa sana na tabia hiyo alimwonya mara nyingi lakini SHIDATUPU alikuwa anaendelea na mchezo.Mkewe akamwambia wewe endelea na mchezo wako ipo siku ukija kujamba utatoa na utumbo SHIDATUPU akamcheka sana.Basi siku moja kabla hakujapambazuka mkewe akadamka kimyakimya akaenda akachinja kuku akatoa utumbo wa kuku baada ya hapo huku mumewe SHIDATUPU akiwa amelala mkewe akachukua madawa ya usingizi akampulizia mumewe ili alale fofofo kabisa alipo maliza kumpulizia madawa ya usingizi mkewe akachukua utumbo wa kuku ule mnenemnene na kuuweka panapohusika(TAFSIDA IMETUMIKA) kwa mume wake basi baada ya hapo mkewake akawahi sana kwenda kazini bila kumuaga mume wake.Basi mume wake akaamka kama kawaida yake akajamba kwa nguvu sana safari hii baada ya kujamba akahisi kama kunakitu kuangalia akakuta utumbo umemtoka .Hakuamini macho yake akaenda kujiangalia kwenye kioo akakuta utumbo .INAENDELEA

Ovyoooooooo!!!!
 
Mwanzo mzuri
Ila jitahidi bado,lakini utafika tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom