Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,084
4,351
Aiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo kingine kabisaaaa!! Full umeme maji usiseme,yani nikiangalia huku bonge la hospital,hapa kanisa,magari hadi mlangoni (kwanini nisiende mjini?)hewa saafi kabisa DAR kufanya nini?(huko shule tu na kusalimia hiyo mifoleni nani anataka? wee tutabanana hukohuko)......... Yani kweli msuli wote ule,mbu wamenifaidi,nimekoswa na misap afu muda umefika wa kurelax nakutana na eti poor mazingira thubutuu nani kasema! wamenibembeleza wenyewe!! Nchi yangu,maisha ni yangu yanini niteseke eti kisa mwalimu who told you?ukiiendekeza hii nchi wallah utakufa masikini unajiona!!......... Mi napenda kuwaambia nyie ndugu walimu msiwe wanyonge kiasi hicho ,msijidharau na wala msiwape nafasi watu kudharau ualimu wako maisha ni kupambana,kupanga na kuchagua!! ........... anyway naombeni niishie hapa (naandaa scheme of work loh hili nalo janga)..ntarudi kuwaambia kitu.....
 
serikali inabidi ijitahidi kuboresha mazingira ya shule za vijijini ili kuwapa walimu moyo wa kufundisha, otherwise tatizo la upungufu wa walimu baadhi ya maeneo litaendelea kuwa sugu milele na daima !!
 
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine,na wanastahili malipo ya kutosha na mazingira bora ya kazi kama kada zingine!
Ualimu ni wito?
Nani kasema!
 
umehamia wap? Na kituo cha kwanza kilikuwa kipi? Huenda upo karibu na mimi tutafutane!
 
Hongera mwalimu Munkari
Sasa ni full kuwafundisha watoto wetu
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote mlionipa pole ,moyo na ushauri jinsi ya kukabiliana na mazingira yale ila mmmh pamenishinda,huko ntarudi kulima tu loh! Arushaone thenks sana my dia kwa ushauri wako. Arovera nitafata ushauri wako kama ulivyonieleza, lusungo -am happy now my frend, sosoliso mwambie babu am safe now Mdau ubarikiwe kwa ushauri wako , Rogie nashukuru kwa pole loh tuonane june! Ha HUNIJUI Fidel80 dikembe kwamtoro Jerrymsigwa chopeko NGANU chonbinsky @horseshoe arch Manka m Dinazarde mwekundu dah na wengine mliokuwa nami mbarikiwe!...... wacha sasa nifanye kazi niache majungu! (Afu mjue vile vihela vyao bado sijavila mana nilikuwa na hasira ha ha ha kesho mjinii kununua dressing table loh mwalimu kujiremba!!!)... Kwaherini jamani!!
 
Jamani nimefurahi balaa hongera nyingi my friend so upo kulekule?
 
Last edited by a moderator:
serikali inabidi ijitahidi kuboresha mazingira ya shule za vijijini ili kuwapa walimu moyo wa kufundisha, otherwise tatizo la upungufu wa walimu baadhi ya maeneo litaendelea kuwa sugu milele na daima !![/QUOTE

amen
 
Back
Top Bottom