Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima halipizi kisasi bali anasaidia jamii kwa kufufua maovu, ukiukwaji wa sheria za nchi"
Mungu kasikia sala za wengi walionyanyaswa na huyu zero wengne kupelelea kupata magonjwa hadi kufariki kwa kufutwa kazi na Bashite..akwende 2 kilaza
Kuna ile siku ya ishu ya ardhi bashite alimdhalilisha sana yule mwanamke "mnatembea tembea tu na matumbo tumbo yenu," mungu wa dar alipayuka.
Zamu yake imefika kupayukiwa
 
Kwani watu wanaangaika na hicho kizee kwa nini...ningekuwa mimi napita pale ubungo na semi la mafta nachoma waumini wote mule maana sioni mwenye akili...badala ya kuomba wanaanza masengenyo?....kizee kitakuwa na mtindio wa ubongo sio buree.
Povu la nini dogo nenda kashughulikie waliopatwa na tetemeko mambo ya Bashite waachie wenyewe.
 
waliokuwa wamezunguka nyumba yake washaondoka
Jumapili ntaenda kusali kanisani kwake kwa kweli, nipate vitu live, sitaki kuja kuadithiwa tehe tehe tehe
 
Kuna ile siku ya ishu ya ardhi bashite alimdhalilisha sana yule mwanamke "mnatembea tembea tu na matumbo tumbo yenu," mungu wa dar alipayuka.
Zamu yake imefika kupayukiwa
Ana dharau na kiburi sana, wakati kichwani zerooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
tapatalk_jpeg_1469198564194.jpg
 
Hawo wageni pia waje na Vyeti vya Uchungaji wa Gwajima,, pia huo ugeni uje na Wakufunzi WA Chuo alichosomea Uchungaji Gwajima.

Kama ugeni huo kutoka Kamiloje usipo ambatana na halo Walimu waliofundicha Gwajima Uchungaji kutoka ktk Chuo kinacho tambulika hasi wajue ni hata wakija watakuja kumpigia Beberu gitaa hakuna WA kuwasikiliza sisi tuko henet na MAKONDA wetu.
Kama unataka vyeti vya mchungaji anzisha uzi wake huu ni spesho kwa ajili ya Bashite.
 
Namshauri Mtumishi huyu amwige Bwana Yesu aliyesamhe kwani pamoja na kutukanwa, kufanywa duni na hatimaye kuuawa tena kwa kifo cha aibu c
Cha kuangikwa Msalabani yeye alisema Baba uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo tena ajue kuwa Vita vyetu havipiganwi kimuli vita vyetu ni katika Roho na kweli namuomba sana Mtumishi huyo wa Mungu arudi chini ili asizidi kumpa nafasi shetani ajiulize Askofu Zakaria Kakobe yuko wapi sasa hivi maana alivuma sana kipindi hicho
 
Uana harakati wa kiroho, kony wa Uganda ya Kaguta alianza kama mwanaharakati wa kiroho wa kabila la Acholi. Akaipinga serikali kwa kutumia Biblia na maneno ya kiana harakati. Serikali ikamlegezea wakifikiri ni kumpuuza.

Baadaye uana harakati wa kiroho wa kony ukakomaa kwa kutumia Biblia na silaha kwa kuendeleza vita sokwe. Uganda na nchi jirani sudan na congo zote mbili wameteswa sana na LRA ya kony. Marekani ndio kawasaidia kupunguza madhila ya Kony na waumini wake. Ingwa bado yako. Sasa furahieni tu hapa kuletwa wazee wa kijijini wastaafu wengine wakiwa walimu.

Na washawasha!
Bashite alite vyeti bhana. Mfano wako hauendani na hoja mezani.
Acha maneno weka vyeti mezani
 
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.

Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?

Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
www eti:uninyang'anye koti nikuachie na shati!!!???huo unyonge wa kijinga
 
Ningekua muumini wa hili kanisa ningehama jumla. Maana siwezi kuongozwa na mtu ambae ni mchungaji anaejua kua anatakiwa kusamehe na kuachilia na pia anajua visasi sio vya mwanadamu ni vya Mungu then anajifanya kua kipofu na kiziwi. Utumishi wake una walakini kwa kweli...
 
Gwajima kama angeamua kukaa kimya katika hili basi angepata thawabu kubwa kwa Mungu, yeye kama mtumishi wa Mungu hapaswi kufanya hizi show off
Gwajima na Makonda ni watu tofauti kabisa kiroho, hakuna sababu ya Gwajima kufanya hili.
Linampunguzia baraka, alitakiwa kusamehe na kumuombea Makonda kwa nguvu zote
Akili za kitanzania pure ndo maana huwa tupo tupo kama vile sio Binadamu wa kawaida
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Ijue kweli nayo kweli itakuweka huru......usiseme uongo........Hayo yote ndo anayo hubiri Gwajima kama impasavyo........Kwanini wengine isiwe kwa Bashite.....Acha tusaidiwe
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
kwani unasali hapo? Pilipili iko shambani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom