mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,218
- 6,650
Nakumbuka anadai ana uwezo wa kufufua watu, kama jina la kanisa lake "Uzima na Ufufuo" na akadai angemfufua marehemu Amina Chifupa. Bado waumini wanamwani pamoja na maandiko marakatifu (anayotumia kuhubiri) yasemayo "binadamu ni mavumbi na mavumbini atarudi"!!!Ningekua muumini wa hili kanisa ningehama jumla. Maana siwezi kuongozwa na mtu ambae ni mchungaji anaejua kua anatakiwa kusamehe na kuachilia na pia anajua visasi sio vya mwanadamu ni vya Mungu then anajifanya kua kipofu na kiziwi. Utumishi wake una walakini kwa kweli...