Gwajima aagiza helkopta 2 kutoka Japani

chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,176
1,055
Katika mahubiri yake ,Gwajima amesema amepewa heilkopita 2 na sasa atakuwa nazo 3,na ktk ule mkutano wake utakaoanza mbezi atatumia kufikisha ujumbe kwa watu walio mbali,atagawa vipeperushi na kuvisambaza kwa kutumia ndege hizo 3,ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao,hakuna kitu kizuri kama kujua kucheza na akili za watu hasa WANAWAKE.Tunakusubiri Masiah maana watu wako tunafanywa kama ngazi.

Dsm itatekwa na Mwakasege,mwingine anajiita nabii Genoviva na huko Mbezi atakuwa ni Gwajima,hii yote ni kulinda kondoo wasiibiwe na kuhakikisha wanapata sadaka za ukweli.

Ngoja tusubiri labda inteligensia ya POLISI itafanya kitu au Injili itahubiriwa DSM yote kwa kasi .

Huu ni mwaka wa mwendokasi,mjitahidi kutafuta sadaka waumini kazi ya Mungu ni pesa,
 
Mtoa mada ni mtoto wa dawa (in gwajima's voice) muulize mkuu wa mkoa wa Arusha aliposema walokole wanawabughudhi wananchi kwa kukesha kwa makelele aliitwa mtoto wa dawa! Naona na wewe unahamu ya kuwa mtoto wa dawa
 
hebu na wew cheza na akili za watu!! au hutaki kumiliki ndege...njia si umeshaijua
 
Poit ya mleta mada ni kwamba muandae sadaka mkanufaishe watu waendelee kununua chopa nyie mlale njaa. Kuna kanisa moja nilionaga maeneo ya kimara kologwe kama unaenda kirungule. Kipindi cha mnada unakuta kuku wa sh. 6000 anauzwa mil. 2
 
kama anaona ni rahisi hivyo na yeye si akafungue kanisa
 
Ulichopost ni sawa na umbea......yaani kama ni mziki basi ni taarabu........Maana umegusa gusa tu.........Kama hayakuhusu piga kimya.
 
Katika mahubiri yake ,Gwajima amesema amepewa heilkopita 2 na sasa atakuwa nazo 3,na ktk ule mkutano wake utakaoanza mbezi atatumia kufikisha ujumbe kwa watu walio mbali,atagawa vipeperushi na kuvisambaza kwa kutumia ndege hizo 3,ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao,hakuna kitu kizuri kama kujua kucheza na akili za watu hasa WANAWAKE.Tunakusubiri Masiah maana watu wako tunafanywa kama ngazi.

Dsm itatekwa na Mwakasege,mwingine anajiita nabii Genoviva na huko Mbezi atakuwa ni Gwajima,hii yote ni kulinda kondoo wasiibiwe na kuhakikisha wanapata sadaka za ukweli.

Ngoja tusubiri labda inteligensia ya POLISI itafanya kitu au Injili itahubiriwa DSM yote kwa kasi .

Huu ni mwaka wa mwendokasi,mjitahidi kutafuta sadaka waumini kazi ya Mungu ni pesa,
Kweli we we umeishiwa maana yani umepoteza mda wako kukaa kwenye kibodi na kujishughurisha ujinga huo
 
Mtoa mada ni mtoto wa dawa (in gwajima's voice) muulize mkuu wa mkoa wa Arusha aliposema walokole wanawabughudhi wananchi kwa kukesha kwa makelele aliitwa mtoto wa dawa! Naona na wewe unahamu ya kuwa mtoto wa dawa
hahaha mtoto wa dawaaa

ila gwajima ni magumashi hatare
 
Back
Top Bottom