MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,193
Halafu bado kuna wapendwa wanapeleka ¾ ya mapato yao huko kwa mtu huyu wa "mungu" ili awafanyie mpango wa kwenda mbinguni. Ukiwaona wamechokaa vitoto vimekondeana kwa kukosa lishe.
Tatizo lako ni helicopter za Gwajima au Mwakasege au sadaka? Point yako ya kwanza ndio ilikuwa habari lakini haya mengine uliyoyaongezea hapo unaonekana una chuki za kidini. Hueleweki!
HahahhhMtoa mada ni mtoto wa dawa (in gwajima's voice) muulize mkuu wa mkoa wa Arusha aliposema walokole wanawabughudhi wananchi kwa kukesha kwa makelele aliitwa mtoto wa dawa! Naona na wewe unahamu ya kuwa mtoto wa dawa
Mtoa mada umeigusa misukule inayofufuliwa kila siku sasa unatakiwa uwe mvumilivu na mipovu
Toa utaongezewa! Hakuna anayelazimishwa kutoaPoit ya mleta mada ni kwamba muandae sadaka mkanufaishe watu waendelee kununua chopa nyie mlale njaa. Kuna kanisa moja nilionaga maeneo ya kimara kologwe kama unaenda kirungule. Kipindi cha mnada unakuta kuku wa sh. 6000 anauzwa mil. 2
Biashara ya SADAKA tamu sana... haina kodi.. alafu unaambiwa ukitoa, Mungu atakuongezea maradufu..
Maana yake unaambiwa...
Ukitoa 1 mil utapata 2mil...
Ukitoa 100 mil utapata 200mil..
Unaambiwa... unaambiwa.. toa toa ulichonacho ndugu Mungu anakuona mpaka moyoni mwakooooo... tao ndugu...!!
Ukitoa, utapata baraka, toa...
Hii biashara Gwajima, Mwakasege, Lusekelo, Mwingira, GeoDevi, matapeli wakubwa hawa... wanakula sadaka kila siku..!!
Wajinga ndio waliwao..!!