Guys, how about this.......Rate it!

background music?? not good idea! Most people wont stay long.. Did you do it all by yourself?
 
Thanx for the advise....I will remove it.NOW. and yes I did It me,myself and I.
 
safi sana mkuu upo juu nitakutafuta na mm nataka kutengeneza website yangu jamani
 
I'm only the beginner in web designing and nataka mni-judge....:embarrassed:
Website: Home - Karibuni Guys!!

Mkuu hii ni website za bure kaka ambazo Bandwidth 100MB na storage 40MB tu, wanakupa tamplate na wewe unaweka vitu vichache tu, kwa sababu ukiangalia web address yako inaanzia yourname[/I].webs.com, haina tofauti sana na kuwa na blog. Ila si mbaya kwa kuwa umesema ndio unajifunza. Kama utaitaji vitabu ya hii kitu I mean website na jinsi gani zinaandikwa nitakutumia vitabupepe (ebooks) ili atleast na wewe uingie kwenye ulimwengu wa web design ki uhakika.
 
Hongera sana kwa kazi hiyo.. Maoni yangu nikama hivi:
1. Nimeshindwa kuona picha ulizo weka nahisi labda umekosea kulink.
2. Kama unafikiria kutengeneza website professionally jaribu kuifanya iwe simple website yako iko very busy na kusababisha kuloose track ya kitu unachokiangalia.
3. Kuwa na constant FONT na Color, hiyo kuweka rangi nyingi haileti mvuto
4. Hapo juu unetumia header ya picha za wana muziki wakati website inhusu michezo... jaribu kuweka picha zinazo endana na concept ya website..

Sina ujuzi wa website designing lakini haya nimaoni yangu.. I do hope this helps you out...
 
Mkuu hii ni website za bure kaka ambazo Bandwidth 100MB na storage 40MB tu, wanakupa tamplate na wewe unaweka vitu vichache tu, kwa sababu ukiangalia web address yako inaanzia yourname[/I].webs.com, haina tofauti sana na kuwa na blog. Ila si mbaya kwa kuwa umesema ndio unajifunza. Kama utaitaji vitabu ya hii kitu I mean website na jinsi gani zinaandikwa nitakutumia vitabupepe (ebooks) ili atleast na wewe uingie kwenye ulimwengu wa web design ki uhakika.

ebu na wewe fungua wesite ya bure tuone hivyo vitabu unavyosema kama vinakusaidia na tujue kama wewe uko kwenye ulimwengu wa web design ki uhakika. ikiwezekana chukua hizo template then weka vitu kama alivyoweka tuone itakuchukua siku ngapi?
 
Kaka website aliyotumia ni ya bure na wanakupa storage ya 40MB tu, kama alivyosema mdau hapo juu, hapo katumia tu tamplate za bure na kaweka vitu vyake vichache na si kwamba ka-design from the strach...!

Hapo hakuna tofauti na Blog. Katika hiyo hiyo website unaweza ukalipia wakakupa storage ya kutosha kuweka mambo yako mengi unayoyataka.
 
learn markup that is html
then learn styling that is css
then learn graphics that is photoshop or gimp or paint.net
congrats, you are a web designer!

Now take more step, learn JavaScript, and server side language that is php or asp or jsp et al! Then learn ajaxing things and some flash is added advantage. If you havent realized, you are web developer!

It takes time, effort and perserverance though!
 
i forgot one thing, for dynamic websites, which are reigning today, it is imperative you learn database! Mysql postgresql, mssql, oracle, db2, sybase, firebird, sqlite3.....et al!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom