Guest za Uswahilin Najuta.....

kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol

Chabo hiyo mkuu wanasema ukihamia tundu la pili utawasikia wote wakishangilia ewaaaaaaaa
 
guest za bei rahisi zina visa siku zote yani!
Vya bei chee vina gharama yake,na gharama Yake ndo kama ivoo!
 
Duh, hii ilinibidi niirudie mara mbili mbili lakini nilipogundua ni chit chat, nilicheka sana.
 
mkuu pole sana ila hongera sana maana kama unavuta hisia kwa jirani mpaka antena zinasiama bila TV we mkali
 
Du lakini nini mwisho wa huu upuuzi?
Au ndio tuiache boti ivuke maji bora tuvuke ng'ambo?
This is bad.
What do you is the solution?
 
Umenikumbusha kitu...zamani wakati niko sekondari, fomu wani hadi fomu srii, mimi na washikaji tulikuwa na hiyo tabia ya kula chabo.

Yaani kama mshikaji akipata demu anatutonya sisi washikaji wengine halafu wakiingia geto sis tunaenda dirishani kula chabo. Hapo ujue tayari tulishaingia chumbani na kuliseti pazia kidizaini flani ili tuweze kula uhondo (I guess hivyo ndivyo tulivyokuwa tunawaza katika akili zetu kipindi hicho! Utoto bana...una mambo mengi sana)

wanao watakuja kukupiga chabo ukiwa unamfaidi mama yao
 
Hapana sio maneno ni boxer nimekununulia nakuletea kule tunakutanaga
 
Kwanza guest zenyewe hguwa ni chafu san!! Magodoro yananuka nyuchi tu, maana yanabeba watu wa kila aina kila siku ipitayo!!

Mkuu si ungetoka tu nje ukajituliza na kamzigo kako na ww?!! tehe tehe teheeeee....
 
Mi huwa sitaki huo upuuzi wa kusave 5000 unahangaika usiku kucha wakati kuna Motel za maana unaangalia TV, kiyoyozi juu, bafu safi na choo safi ukiingia umeingia hadi kesho yake.
Maisha ni pamoja na kujipenda mwenyewe jamani, labda kama huna hela hapo inakuwa special case.
 
kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol
kaka,tena wakitoka hapo nao ndio wanakuwa na stimu ya kufanya..
wengine hawawezi anza safari peke yao mpaka wapige chabo..lol,dunia hii kazi ipo
 
Wakuu kwa ujumla "guest house" kwa Bongo huwa hapafai japo ziko nzuri kutegemea na mahali. Niliwahi kwenda kikazi Musoma wana guest houses nzuri sana kama Hotel vile na sijawahi kuona mkoa wowote wa Tanzania nilikowahi kufika. Mbali na karaha hizo za makahaba guest house pia usalama wake ni mdogo sana. Rafiki yangu alinusurika kuvamiwa na majambazi yaliyokuwa yanaingia chumba kwa chumba yakikusanya pesa za waliomo huko Arusha.
 
Umenikumbusha kitambo sana nimeharibikiwa usafiri, ikabidi nitafute pa kujilaza, yaliyojili dah kama hayo. Network search bila mafanikio
 
Umenikumbusha kitu...zamani wakati niko sekondari, fomu wani hadi fomu srii, mimi na washikaji tulikuwa na hiyo tabia ya kula chabo.

Yaani kama mshikaji akipata demu anatutonya sisi washikaji wengine halafu wakiingia geto sis tunaenda dirishani kula chabo. Hapo ujue tayari tulishaingia chumbani na kuliseti pazia kidizaini flani ili tuweze kula uhondo (I guess hivyo ndivyo tulivyokuwa tunawaza katika akili zetu kipindi hicho! Utoto bana...una mambo mengi sana)

usiusingizie utoto we jamaa,tabia zenu zilikua chafu,mbona wote tumepitia utoto lakini hatukufanya upuuzi huo.hadi sasa waweza kuwa mpiga chabo maalufu hapo mtaani kwenu.
 
Jana nilitoka Tanga nikachelewa kufika dar,home kinyerez ndani zaid nikaona nienda magomeni kagera karibu na Friends conner Hotel kuna mlolongo wa Nyumba za wageni.
Nikiwa ndani kwa kweli nilishindwa kulala:
nasikia sauti:-aaa mi staki,staki huko sijazoea,naumi.
Mmmh akili ikahama ghafla ikanibidi nickilize kwa makini sana,sauti ilikuwa kubwa ukizingatia ni chumba kinafuatia,mara sauti zikakata,ikaanza minong'ono ya
ku-make love huku nikiwa nackia kila kitu jambo lilofanya antena yangu isimame pasipo na TV wala Umeme.
Kadir muda ulivyozidi sauti zilikuwa zikiongezeka namimi hali kwangu inakuwa mbaya.
Mara yule bint akaanza bac sitaki tena nitazoea vibaya.
Ikanibidi nizuge kwenda kukaa nje maana hali kwngu ilishakuwa mbaya.
Baada ya nusu saa nikarudi nakutana na wapendanao hao wanakwenda kuonga.
Du yule binti ana umri usiozidi miaka 19 yule bwana ni zaidi ya 45 huku akiwa amejazia misuli kama mbeba vyuma.
Jamani hivi huyu ni zaidi ya mwanae tena walionesha kufahamiana muda mrefu.
Wakati nataka kufungua mlango namuona dada anatoka mlango wa tano kutoka kwangu akiwa na kataulo kafupi akikimbilia kwangu huku akiniomba aingie.
Mmmmh we dada vipi nikimwangali ni mtu mzima.
Vipi iweje ukimbie leba wakati unataka mtoto?
Nikafunga mlango wangu nikamwacha nje.
Du hizi guest za uswahilini.
Nakumbuka form III na IV tulikuwa tunakaririshwa definition moja ya tamthiliya sijaisahau mpaka kesho: "Literature is an artistic reflection of social reality." Yani mtu anatengeneza hekaya inayofanana fanana na yanayotokea kwenye jamii na ukisoma unajua kabisa hii ni kazi ya kisanii lakini unatuma ujumbe fulani mzito kama vile kukemea ku rape watoto n.k.

Okay, ujumbe wa tamthiliya yako ya Life Around Friend's Corner umeifikia jamii. Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom