usiku mema nawe pia,ulale unono.
sali kabla ya kulala usije ukaota
unafukuzwa na mbwa mwenye kichaa.
hakuna tafsiri zaidi ya kuweweseka tu, nilikuwa natishwa nilipokuwa mdogo ukilala bila kusali utaota ndoto mbaya.Du! Halafu tafsiri yake ni nini?
Usiku mwema na weekend njema....
Tuonane asubuhi.....
Wakritu msisahau kanisani please!