Mulamula
Member
- Aug 27, 2012
- 13
- 3
Acha upuuzi! Hakuna moral authority unapotaka kupambana na mwizi! Arguments zako zote zinaonyesha hate na jinsi ambavyo unashindwa kutoa njia mbadala za kupambana na tatizo ambalo kijana mwenzetu ameona kwamba njia hii itasaidia. We beba boksi. Don't hate.George Smiley na wenzako mnaomsujudia January,
Ebu tuondoleeni upuuzi wenu humu kwenye watu wenye akili, sio watoto sisi. Guardian haiwezi kuwaruka eti Mawaziri wanaopambana na ufisadi/grand corruption mpaka nchini kwao (BAE Systems na Radar) kama Membe, au mawaziri wanaotikisa bad governance sio Tanzania tu bali Afrika, kufikia hatua ya Waziri Mkuu kwenda na maji kwa ufisadi (Lowassa), na vile vile wengine kulishwa sumu na wengine kuendelea kuwa katika hali isiyo salama (Mwakyembe, Sitta) , yote kwa kupigania walipa kodi wa Tanzania (sio jimbo), halafu eti Naibu Waziri (again full ministers kama hawa wanarukwa), na naibu waziri ndio anaonekana ni mpambanaji wa kweli, tena on petty corruption, talking about ubunifu wa kupunguza rushwa miongoni mwa watanzania wanaolima matunda? Please!!!.....
At least all you can do kama hii inauma rudi home kama Field Marshall na wewe uonyeshe mchango wako which I still doubt maana kama hapo ulipo umeshindwa hata katika mada kama hii kuonyesha uwezo wako wa kufikiri.
I have read through nimeona maswali yanayostahili majibu, majibu yapo waziwazi. Kuna sababu chache za mtu kuamua kutoyaona. Au ulikuwa mke wake au alikuposa akakuacha. Let's discuss issues zenye tija kwa taifa letu like men! Basi!