Growing Old is Mandatory!!..HBD BelindaJacob

Wapendwa,Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.Wa thati,BelindaJacob!!...BJ.....xoxoxoxo
May dear Lord bless u!!! Happy bday dear BJ....happy bday to uuuu.Ur 27??? Sooooooo young unatakiwa ukiingia hapa uanze na shikamoo baba Nguli
 
Happy Birthday babe BJ.....
Same Same BJ That I know
Keep up growing strong, and keep
Your ambitions and determination up front
Happy birthday Belly!

Same BJ you've always known!..never change:)))
Thanks a bunch Kaizer!..Blessed!!

Happy birthday 2u
u liv in a zoo
u luk like a monkey
u smell like one too!!

How old r u now
we bought a new cow
it keeps mooing moo
like u r doing now!!!

HAPPY BIRTHDAY DADA..
Zaburi 90:12 "12. Basi utujulishe kuzihesabu siku zetu : nijipatie moyo wa hekima. "

Thanks a lot Mentor..imebidi niimbe huo wimbo wakati nasoma post yako.

What a cheerful day!..!!

Hey BJ...
You are younger than i thought.....
Happy birthday.....still lots to learn....and lots to do....goodluck!

RR, umenifanya nijione 'so young' ha ha..
Many thanks kamanda!..Baraka tele ujaliwe!!

Hongera Sana....; Happy Birthday....

VoR, shukrani za dhati!!

daaamn......You also thought that? Should have asked me... nimeona mengi kijana LOL

Mmmh! no comment, acha nigune tu:)) wewe na RR mlihisi nina miaka ngapi? lol ha ha

Happy birthday Belinda!

Asante sanaa Jephta!..blessed!

Happy Birthday belly..

Mayasa, nashukuru sana!!..Cheers!

Happy birthday!

Chauro mamii, shukrani sana!

btw, jina lako limenikumbusha kitu nilikuwa napenda kula wakati nipo primary school M'mbili..

Hahahaaa....hii dunia iko na mambo mingi.....

Kabisaa..Dunia imejaa mambo mazito na mepesi!!..dunia ya ajabu kweli:)) he he

Happy birthday bj. Can you live more and more years and blow many candles as you can.

Oooh Renegade, thank you very much!..Ubarikiwe sana!

Hiyo series niliipenda sana miaka hiyo 'Renegade'
 
May dear Lord bless u!!! Happy bday dear BJ....happy bday to uuuu.Ur 27??? Sooooooo young unatakiwa ukiingia hapa uanze na shikamoo baba Nguli

Nguli my comrade, thanks a lot!..Baraka tele ujaliwe!!..
Bwana siwezi kukuamkia, I guess we are agemate:)) so 'mambo vipi' inatosha tu!!..ha ha

happy bday....

Thanks sana Sangara!..Blessed!
 
Wapendwa,

Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.

Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.

Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.

Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.

Wa thati,

BelindaJacob!!...BJ.....

xoxoxoxo

hongera sana BJ, haya uzee unaanza kukunyemelea sasa mtoto wa kike,
Uolewe sasa, acha kuchagua chagua mno..................................(joke)
 
hongera sana BJ, haya uzee unaanza kukunyemelea sasa mtoto wa kike,
Uolewe sasa, acha kuchagua chagua mno..................................(joke)

He he!..Asante Bacha!!..ushauri utazingatiwa, muoaji akitokea!!
Baraka tele!!!
 
Wapendwa,Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.Wa thati,BelindaJacob!!...BJ.....xoxoxoxo
Happy birthday BJ, Mungu akujalie maisha marefu..
 
Wow BJ ur ma sis.... huh! I wish u remain there hadi nikufikie, hahahaaaa Hongera yako mwaya mamii mwenyezi Mungu akuzidishie maisha mareeefu yenye upendo na amani, pia busara na hekima. Happy bday dear!
 
Wapendwa,

Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele.

Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima.

Nawapenda sana na tuendelee kuelimishana/kuchanganua uwanja huu huku tukilijenga Taifa letu kwa hali na mali.

Baraka tele mjaaliwe katika maisha na majukumu yenu ya kila siku.

Wa thati,

BelindaJacob!!...BJ.....

xoxoxoxo

ok, congrats. lakini nipe cha maana ulichofanya miaka 27 kinachoweza kuigwa
 
It's good to have friends
Friends who care,
Friends who you know
Will always be there
When you need them,
And never complain,
When you tell the same story
Again and again.
Happy Birthday, my friend Belinda Jacob..Lipstick ya purple

Sasa uanze kupaka Lipstick ya purple
 
hongera BJ.
Umebarikiwa wewe. kuna m2 ndo antungwa mimba sas hivi
na pengine akizaliwa hata ishi hata robo ya hapo ulipo.

A woman should allways behave like a woman to show her womanhood.
Ubarikiwe zaidi.
 
Happy birthday BJ, Mungu akujalie maisha marefu..

Asante ndugu yangu Katavi!..Baraka tele nawe!

Wow BJ ur ma sis.... huh! I wish u remain there hadi nikufikie, hahahaaaa Hongera yako mwaya mamii mwenyezi Mungu akuzidishie maisha mareeefu yenye upendo na amani, pia busara na hekima. Happy bday dear!

Asante mdogo wangu Kipipi..I can't remain here unikute, ukifika 27 mimi nitakuja nimeanza mvi:)) ha ha
Be blessed dear!!

ok, congrats. lakini nipe cha maana ulichofanya miaka 27 kinachoweza kuigwa

Mmh mbona unipiga swali kubwa sana!...Naomba nikuandalie listi!! thanks

Happy birthday BJ, ukubwa huo.

Mamii kweli ukubwa, yani naongeza miaka!!..Thanx H

happy birthday to you.

Thanks za dhati Romance!..

happy birthday my little....very little sister....xo xo xo

Aah Preta acha kunizingua!..tunalingana au tumepishana 1 year only!..Thanks a bunch mamii!!xoxo
 
It's good to have friends
Friends who care,
Friends who you know
Will always be there
When you need them,
And never complain,
When you tell the same story
Again and again.
Happy Birthday, my friend Belinda Jacob..Lipstick ya purple

Sasa uanze kupaka Lipstick ya purple

FirstLady my dear, thanks a million!! Blessed!

Okay, starting next week nitaanza kutumia purple lipstick:)))

hongera BJ.
Umebarikiwa wewe. kuna m2 ndo antungwa mimba sas hivi
na pengine akizaliwa hata ishi hata robo ya hapo ulipo.

A woman should allways behave like a woman to show her womanhood.
Ubarikiwe zaidi.

Amen Tasia..Siyo kwamba mimi ni mwema sana ila naamini Mungu ana makusudi yake!
Thanks for advice and wishes!..So proud to be a woman! be blessed!!xoxo

Happy Birthday Belinda.Age is just a number don't stop having fun.

You're so right, life is too short not to have fun!..Thanks mamii Ennie, baraka tele!!
 
Ndo na we ukue uwe kakubwa nikutume dukani

He he..umenikumbusha mbali, kutumwa dukani raundi kama 10 kwa siku..mara kiberiti, unga, sijui nyanya na mazaga zaga mengine!
Sasa ni kutuma wadogo zangu:)) ukubwa raha sana tena afrika!!

mimi ni mbibi.

Halafu mimi utasemaje, ajuza??!! lol
Husninyo nahisi wewe ni under 25..ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom