CLAY KITUMBOY
Senior Member
- Sep 8, 2009
- 110
- 4
R.i.p
Ntaandika zaidi baadaye juu ya huyu Mzee. RIP Gregory, tutakumiss sana. Asante kwa miaka mingi ya miziki yako Mizuri na yenye radha taaamu.
Kwangu mie, huu wimbo utabaki THE BEST kupita zote. Siku zote huwa unanikumbusha nikiwa Arusha na kijana mmoja aitwaye Peter Alexander ndiye aliyekuwa aki-supply miziki yote ya REGGAE pale chuoni. Kaka yake alikuwa na duka la miziki DEIRECT kutoka Jamaica na alikuwa akijitahidi sana kuwahi kuzipata ukilinganisha na miaka ileeeeee..... Kibao changu ni hiki chini:
Please let us know which was your favourite Gregory Isaacs...Mine was 'night nurse' obviously, 'Hot stepper', "overrule your objection"...Ohhh..i liked many of his songs!!!
Mwanamuziki wa Sweet Reggae wa siku nyingi, Gregory Isaacs , amefariki dunia nchini Uingereza muda mfupi uliyopita. Kwa mujibu wa taarifa fupi ya BBC iliyosikika jioni hii, mwanamuziki huyo amefariki hospitali alikokuwa anatibiwa. Nyimbo zilizompatia sifa mwanamuzki huyu ni nyingi na moja wapo ni Night Nurse ambayo unaweza kuisikiliza hapo juu na kukumbuka mambo yalivyokuwa miaka ya 80.