(Gregorian calendar) Is he pious?

Eiyer,...nimekupata mkuu,ila ndio uniambie ni kwanini huyo Regan alipona ingawa ni kwa maajabu....nafikiri hizi ni cincidence tu kiongozi wangu.

Coincedance?Wait a minute!Hebu fikiri vizuri!
 
IGWE,mtafungwa,ukweli kuhusiana na vifo hivyo ni kuwa zipo hadithi nyingi ila ukweli ni ibada ya kishetani.Kwanza hawaipendi namba inayoishia na 0 kwa sababu Mungu aliitumia alipompa Musa amri 10,so wao wanakwenda against na Mungu,ndo maana wana amri 11 za shetani!Wanapofanya mauaji wanakua wanapinga kiongozi wa taifa lao kuchaguliwa mwaka wa Mungu,lakini pia wanakua wamemtoa kafara kwa kumwaga damu yake.Regan alipona kiajabu coz alitakiwa afe,Bush aliechaguliwa 2000 hakuuwawa coz familia yake ni wanachama wa Skull & Bones tangu babu yake Bush alikua anaitwa Prescot Bush ambae alikua gavana,ndo maana alipona lakini alitakwa badala yake atoe kafara akiwa madarakani ndo maana kadhia ya WTC ilitokea!Ilikua ni sehemu ya kafara hizo!
 
Asante. Baada ya kupata maelezo yako nimecheki kama kweli GW Bush na viongozi wengine maarufu wa Marekani ni wanachama wa Mafuvu na Mifupa e.g., Secret Societies SKULL & BONES REVEALED, CNN 2009 - YouTube . Kwa hiyo ina maana kwamba utawala wa marekani umejemgwa kwa misingi ya ushirikina? Na wakati huo huo wanatuambia "in God we trust". Sasa huyo mungu ni yupi kama si shetani...Unaweza kuona hata serikali ya Tz imesimamishwa kwenye msingi hiyohiyo...who knows?
 
Mtafungwa,uko sahihi,wanaposema "IN GOD WE TRUST" mungu wanaemtaja hapa ni Lucife au maarufu kama G.A.O.T.U(Great Archtec Of The Universe)hakuna serikali ambayo imesalimika na hawa watu!
 
Asante. Baada ya kupata maelezo yako nimecheki kama kweli GW Bush na viongozi wengine maarufu wa Marekani ni wanachama wa Mafuvu na Mifupa e.g., Secret Societies SKULL & BONES REVEALED, CNN 2009 - YouTube . Kwa hiyo ina maana kwamba utawala wa marekani umejemgwa kwa misingi ya ushirikina? Na wakati huo huo wanatuambia "in God we trust". Sasa huyo mungu ni yupi kama si shetani...Unaweza kuona hata serikali ya Tz imesimamishwa kwenye msingi hiyohiyo...who knows?

kwa kusema in god we trust haimaanishi ni mungu huyu wote tumuaminie, yawezekana kabisa ni mungu wao fulani wanaomuamini yawezekana pia kuwa wanasema tu hivyo kuwapumbaza walio wengi.
 
Mkuu Eiyer
Kwa maelezo rahisi ni kwamba dunia inatumia kalenda yenye uwelekeo wa kipagani bila kujua au haijali?
Hili tukio la 9/11 linavyounganishwa na uwepo wa Mungu huwa sielewi na siamini.,kama Wamerekani ni wapagani kutokana na maelezo yako hapo juu inakuaje tena shambulio la upagani likafanyike katika ardhi ya Upagani? walitaka kuonyesha nini hasa? Au ni pigo toka kwa Mungu wa kweli?

ni mambo mengi wanadunia tunayafanya pasipo kujua kwa nini tunafanya hata kusali jumapili wengu hawajui sababu na kama ni kweli biblia imesema tusali jpili au la?
na hata ukisema bible imesema hivyo swali jingine litakuja nani haswa aliyeandika bible? na hata nani aliyetafsiri hadi mimi na wewe tukajaelewa kwa lugha za sasa? je biblia tuisomayo leo ni ya kuaminika?
 
Acheni hofu za kipuuzi kama hizi,..unajumlisha mara unagawa namba bila sababu ya msingi.....number is number_full stop.

namba si namba tafuta maarifa zaidi. hata katika vizazi vilivyopita namba kilikuwa kitu muhimu sana na cha kuheshimika kuna nguvu nyingi sana katika kujua siri ya namba ndio maana wajanja wanajua kuzitumia na kuificha elimu hiyo ili wafaidi wachache.
 
kwa hyo mnataka kumaanisha kwamba he(pope gregory) was the one of members of that secret society!?
 
Nimeipenda sana hii post,chukua tano iron lady!
 
kwa hyo mnataka kumaanisha kwamba he(pope gregory) was the one of members of that secret society!?

Sio yeye tu,mapapa wote walikua member including benedict xvi,pamoja na kofia yao yenye maneno VICARVIS FIL DEI(sina uhakika kama nimepatia speling)pamoja na kanisa katoliki lote!
 
Mkuu Eiyer
Kwa maelezo rahisi ni kwamba dunia inatumia kalenda yenye uwelekeo wa kipagani bila kujua au haijali?
Hili tukio la 9/11 linavyounganishwa na uwepo wa Mungu huwa sielewi na siamini.,kama Wamerekani ni wapagani kutokana na maelezo yako hapo juu inakuaje tena shambulio la upagani likafanyike katika ardhi ya Upagani? walitaka kuonyesha nini hasa? Au ni pigo toka kwa Mungu wa kweli?

Hii ilikua ni kafara ya kumwaga damu ili kujiongezea power ya kutawala dunia,pamoja na kumtangaza Lucife kuwa mungu wao!
 
kwa kusema in god we trust haimaanishi ni mungu huyu wote tumuaminie, yawezekana kabisa ni mungu wao fulani wanaomuamini yawezekana pia kuwa wanasema tu hivyo kuwapumbaza walio wengi.

Their god is Lucifer and they knw it!
 
Basi mungu wao(Lucifer)ana nguvu sana_maake kaiendeleza sana nchi yake(USA),sio kama nchi za kwetu kina yakhe na mungu wetu katuacha.

mkuu igwe,
shetani ana nguvu nyingi sana na pia anaweza kufanya maajabu kupita binadamu, ndio maana nguvu za shetani zitashindwa na za mungu peke yake, unakumbuka katika biblia shetani anaelezwa kujionesha kwa umbo la nyoka na kuongea na yesu na hata akampeleka juu ya kilima kumuonesha miji na milki aliyomwambia atampa? hivyo wamarekani wamechagua au bila kujua wengine kuwa wanaendeshwa kishetani shetani naye shetani anawapa mali nyingi lakini mali hiyo si ya kudumu, itawafanya wapoteze mengi zaidi.
sasa ukija kwetu kuna utata kidogo maana hatujijui mungu wetu wengine wanamcha mungu aliye juu wengine wanamcha mungu na miungu huoni tunampa mungu confussion?
si kama marekani walio wengi wanamcha shetani tena kwa kujua, wengine wanamcha shetani kwa kutojua bali kulazimishwa na hali iliyopo, hakuna taifa wananchi wake wamekuwa controled kama wamarekani.na hilo wamefanikiwa sana.
 
Kuna utajiri kutoka kwa Lucifer,as well as maendeleo pia upo unaotoka kwa Mungu na kila upande una taratibu zake!Uchaguzi ni wako!
 
mkuu igwe,
shetani ana nguvu nyingi sana na pia anaweza kufanya maajabu kupita binadamu, ndio maana nguvu za shetani zitashindwa na za mungu peke yake, unakumbuka katika biblia shetani anaelezwa kujionesha kwa umbo la nyoka na kuongea na yesu na hata akampeleka juu ya kilima kumuonesha miji na milki aliyomwambia atampa? hivyo wamarekani wamechagua au bila kujua wengine kuwa wanaendeshwa kishetani shetani naye shetani anawapa mali nyingi lakini mali hiyo si ya kudumu, itawafanya wapoteze mengi zaidi.
sasa ukija kwetu kuna utata kidogo maana hatujijui mungu wetu wengine wanamcha mungu aliye juu wengine wanamcha mungu na miungu huoni tunampa mungu confussion?
si kama marekani walio wengi wanamcha shetani tena kwa kujua, wengine wanamcha shetani kwa kutojua bali kulazimishwa na hali iliyopo, hakuna taifa wananchi wake wamekuwa controled kama wamarekani.na hilo wamefanikiwa sana.

nimekupata.......!
 
Sio yeye tu,mapapa wote walikua member including benedict xvi,pamoja na kofia yao yenye maneno VICARVIS FIL DEI(sina uhakika kama nimepatia speling)pamoja na kanisa katoliki lote!
Mmmh ok,ujui usemalo labda unasoma na kuamini usichokifahamu mimi sikulaumu ila ndivyo unavyojua.
 
Sio yeye tu,mapapa wote walikua member including benedict xvi,pamoja na kofia yao yenye maneno VICARVIS FIL DEI(sina uhakika kama nimepatia speling)pamoja na kanisa katoliki lote!

Mkuu ulikuwa unazunguka na mwisho umeingia kwenye point yako Rasmi.

Mimi naona unajichanganya kwa kujaribu kukusanya maandiko ambayo wala hujisumbui kujiuliza, wewe unameza kama ulivyoletewa

Hizo namba unazoziweka hapa ni namba mpya duniani, unaposema hizo twin tower ni sawa na namba 11, lakini hiyo sio sawa na kumi na moja ya kirumi ama kihindi ama kichina ama kiarabu, sasa huyo Lucifer anabase kwenye mfumo wa namba unazozitaka wewe?

sasa hiyo Kofia yao (Mapapa) imeandikwaje?, si uweke vitu vyenye uhakika basi ili tukosoane

Unasema hao (wa Lucifer) hawapendi namba 0 kwa sababu ni namba ya Mungu ndio iliyokuwa kwenye Amri kumi,
ndugu yangu Eiyer, usijichanganye kiasi hicho, Hizo Amri kumi hazikuja kwenye mfumo wa hizi namba unazozitumia sasa hivi, zilikuwa kwenye aharamic, ambazo zinaufanano na kihebrew na Kiarabu kwa kiasi fulani na kulikuwa hakuna hiyo ziro unayoizungumza,
na hata zilipokuja kwenye kirumi hiyo kumi ilikuwa X na wala kulikuwa hakuna ziro
 
Mr.kituko naomba nkurekebshe AMRI KUMI ALIZOPEWA MUSA ZILIKUWA katika lugha ya kiarabu na sio kwamba zilikuwa zna ufanano na lugha ya kiarabu coz MUSA Mwenyewe lugha mama yake ni kiarabu na ndiyo aliyokua aki itumia,,na MISRI NI NCHI inayotumia lugat arabia na pia nchi hiyo ipo ndani ya MIDDLE EAST nchi zote zlizopo middle East lugha za asili ni kiarabu yaan kusoma na kuiandika kutoka kulia kuelekea kushoto,n hayo tu
 
Back
Top Bottom