Greetings from Natalia

Hahahaha
Daaaah! Me nilikumiss sana aisee!
Karibu sana maana palipwaya!
 
madea1mt8.jpg
 
Nilikumiss vituko vyako kuvisoma
ila naona umetulia bwana
mi nitakuwa sikupendi tena maana vituko vyako ndo nilivyokupendea
kila nikiona jina lako lazima nikusome loo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom