Greetings from Natalia

ahahahhahah Natalia karibu tena jamvini..........

miss u a lot............

tafadhali anza kutushushia vigongo kimoja baada ya kingene..

uwe na siku njema...
 
Last edited by a moderator:
Mimi mwenzio nimejiunga jana. Kwani ulikuwa wapi mwenzetu? Tafadhali tupashe wengine ndo bado tuko junior members
 
Hivi walikupiga ban ya muda gani vile its so long time hivi siku ile ulikuwa umechanganyikiwa du mods kwakutuliza watuakili hawajambo ,ulipigwa muda gani? Natalia
 
Last edited by a moderator:
Hah hah,ulisifiwa kukimbia ukapitiliza nyumbani,..tulia sasa usije ukapigwa permanent BAN
 
Bora umerudi.. i hope this time utakuja kiutu uzima zaidi..manake ulivokuwa unatupia misredi..lol!
 
karibu tena Natalia,ila naomba ujue tu,we've got a new superstar here....Lara 1,una kazi kubwa kumpiku huyu Lara 1!
 
he he he, umerudi?

Mbona kifungo chako kilikuwa kirefu sana?

Umefanikiwa lile zoezi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom