Yo yo plz ntumie hiyo Album ya Dre 'The Chronic' na Nate Dog kyoyote kama unayo kaka naku-Pm nikupe Email address yangu!!
Yani Eminem kaambulia tuzo 2 tuWabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini....
Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu....
Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba za kutosha...