Graduate studies/programs zisizolipa kabisa hizi hapa!

Sasa wewe hiyo tafiti imefanyika huko Marekani unakuja kuleta hapa Tanzania wapi na wapi bandugu?
Tedo dislike this.
 
hiyo research imefanyika USA hii ni kutokana na job market ambayo iko huko but Africa bado tunawahitaji sana vijana wanaosomea fan hizo hapa nchini kwetu.
 
Umaskini wetu unatulazimisha tusome kwanza tusichopenda 2 utapata mkopo kozi zisizo na mikopo zitabaki kuwa mali ya walionacho. ccm inaua taaluma na watu bado wanaipa sapoti kweni nimeamini Elimu ya Mjinga ni MAJUNGU
 
Research ni kwa mazingira ya USA

Bongo mtu anakuwa senior baada ya kufanyakazi just miaka 3 wakati USA hata sio intermediate is still Junior.

Ingawa kuna baadhi ya point ziko valid kwote mfano kuna baadhi ya fani za engineering you dont need masters degree in a job market badala yake experience ndio inyotakiwa further degree only if you want to be academician
 
Back
Top Bottom