Graduate kujiunga na JKT

MZIBHAZI

JF-Expert Member
May 11, 2013
520
136
Kwa graduate walioko National service naomba au yeyote mwenye kujua tujuzane nyie mmetumia njia gani kufika huko makambini maana usaili wa wilayani ni kwa darasa la saba tu mpka form six na sisi wengine tungependa kujiunga pia na National service
 
itabidi utumie cheti cha form 6 kama ni usaili wa wilayani huna way out yaani jisahaulishe kabisa kama una bachelor labda mpaka baadae kwenye kuandikisha particulars baada ya kuripoti kwenye kambi za mafunzo. Ila kama una mtu JKT mwenye uwezo wa kukupa fomu ya JKT then huna haja ya kupitia hizo process zote
 
mkuu usaili wa form six na lasaba wilayani ushaanza???
 
itabidi utumie cheti cha form 6 kama ni usaili wa wilayani huna way out yaani jisahaulishe kabisa kama una bachelor labda mpaka baadae kwenye kuandikisha particulars baada ya kuripoti kwenye kambi za mafunzo. Ila kama una mtu JKT mwenye uwezo wa kukupa fomu ya JKT then huna haja ya kupitia hizo process zote

Asante kwa taarifa broo kwaiyo pale jkt kuna special form za kujiunga kwa graduate na huwa wanakua nazo watu wa nafasi gani palee maana mdogo wangu yupo jkt pale na hajui hii taarifa ya form huwa zinakua kwa watu gani yani wenye ngazi gani pale jkt??
 
Kiongoz naomba tujulishane hata kwa pm zikitoka na mm nazingojea kwa ham mkuu

Usijal nitakujuza tu unafani au ni six au four leaver kama unafani yani proffesional nadhan hiyo njia aliyo toa Askari wa Miguu itakufaa pia
 
Nafani kiongoz. Kweli hiyo njia ndo tutatumia aisee mpaka tufike huko!!
 
Back
Top Bottom