GPA yako ndo itakupa ajira

Wadau vyuo vimekua vingi sana na wahitimu ni wengi.Tunapoelekea tetesi ni kua itafikia kipindi wenye GPA kali ndo wanaajiriwa kama udokta,ualimu,wahandisi

vyuo sio vingi na wahitimu sio wengi, sema ajira ndo tatizo.Nchi yoyote inayotaka kuendelea lazima iwekeze kwenye elimu ya watu wake.unaweza fanya utafiti nakukuta kuna kijiji hakina hata mhitimu wa elimu ya juu.
 

Attachments

  • mungu saidia.jpg
    mungu saidia.jpg
    27.1 KB · Views: 197
Kwa TZ sidhan kama GPA ni kigezo,kuna washikaji vyuoni wanapiga msuli wamaana lakini wanaambulia pass na kuna mabint ni kushinda kwenye mishe na wanatoka na first class ila uelewa F, GPA si kigezo kwa elimu hii ya kubebana
 
Having a good GPA is not a problem. you stand a good chance of being shortlisted for a job interview. but mainly on your first job after college as subsequent jobs may require other things especially the level of experience and exposure.
when it comes to the office, your GPA does not matter anymore, you have to work hard, convert your GPA to the job requirements and help the organization achieve its reasons for existence/objectives.

if you cannot help, then no matter how attractive your GPA is, you will be dumped. so please, work hard to earn a higher GPA but ensure that you have what it takes to remain relevant at your job and be the best you can be.
 
Hata kwenye udhamini wa masomo ughaibuni academic merit ya kuanzia 3.5 ndio kigezo cha kuqualify kwa udhamini, hivyo good GPA ni muhimu katika ushindani wowote ule.
 
GPA inadumaza akili,vyuoni watu wanasoma zimamoto,wanafaulu ktk semester ya pili mtu anasahau alicho soma..kiukweli GPA nzuri mfano 3.5,au 4 ama 4.5 au 5 tatizo ukiacha cheti,wangapi wanaweza kudhihirisha kwa vitendo?Hata hivyo watu wasibweteke waendelee kusoma kwa kuelewa na siyo KUMEZA
 
GPA inadumaza akili,vyuoni watu wanasoma zimamoto,wanafaulu ktk semester ya pili mtu anasahau alicho soma..kiukweli GPA nzuri mfano 3.5,au 4 ama 4.5 au 5 tatizo ukiacha cheti,wangapi wanaweza kudhihirisha kwa vitendo?Hata hivyo watu wasibweteke waendelee kusoma kwa kuelewa na siyo KUMEZA

Kwa akili yenu ilivyo, hata akisoma na kuelewa na kupata GPA kubwa basi nyinyi mtasema alimeza! Mi naona mnachokifanya ni kutetea hizo GPA zenu ndogo! Nani aliwaambia mtu mwenye GPA kubwa hajui kazi mwenye pass ndo anaweza kazi? Mnajifariji tu, angalieni mambo kwa uhalisia wake!
Kama aliweza kuzima moto na kupata A, iweje wewe usome kwa kuelewa na uishie kupata C? ujue mi huwa sielewi argument zenu! Kapata A, wewe umepata C! semester inayofata aliyepata A akiulizwa swali hakumbuki, wewe mwenye C unakumbuka! ha ha ha ha ha ha! uongo wa kimtaifa huo!
GPA ndo mpango mzima!
 
Hahahaha Kikomelo si maanishi na sikuwa na maana mbaya na ndo maana mwishoni nili comment KUELEWA hata mimi naamini ktk GPA kubwa,na pia naamini mwenye GPA kubwa anaweza kuwa ni mastety of knowledge au siyo.Swali ni hivi"una amini kuwa wapo baadhi ni fake"najua ww ni critical thinker na msomi!!hata hivyo mm sina na sipendi karai(c)..napiga msuli GPA safi..quote me sikumaanisha wote
 
Back
Top Bottom