jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Kwahiyo vyuoni wanafunzi wapimwe vipi ufaulu?
Hapa kuna tatzo nahisi sio kwetu tu hata nchi za wenzetu.
Kuanzia ngazi ya chini tumeshindwa kuwatambua watu wenye uwezo na tumebase kwenye makaratasi.
Mitihani ni mizuri kupima uelewa wa wanafunzi lakin inahitaji supervision ya kila siku kumtambua aliyebora.
Mfano mtu ni aibu kwa wanafunzi aliyesoma udaktari mpaka akamaliza masomo na akachemka katika matibabu ya kawaida tu ie routine. Hii inaonyesha mwanafunzi huyu hakuwa na supervision nzur wakati akihudhuria clinical rotations
Mfano mzuri kuna mwalimu mmoja wa muhimbili anakariri sana na ukimuuliza swali la mnyumbuliko hawezi kulihimili
Mwanafunzi wa kada ya maabara ya magonjwa ya binadamu unamaliza mpaka una graduate huwezi hata kutafuta field kwenye microscope nia aibu.
Yote hayo yamesababishwa na elimu zetu kubase kwenye mitihani zaid ya kwenye makaratasi kuliko competency assessment
Tuwe na utaratibu wa vyuo na shule competency assessment kuanzia chini mpaka juu naamin.