Good news for JF members especially MMU

Hongera sana Mkuu. Hapa kuna Wanawake na Wanaume wa maana tu na kwa maoni yangu hii itakuwa ni mwanzo wa ndoa nyingi zitakazotokea hapa JF kwa miaka mingi ijayo. Kila la heri.
Asante sana mkuu wangu Bubu Ataka Kusema....inabidi tukimbizane na umri
 
Kuna silent killerz humu!!
Ukimwacha tu humu lazima usaidiwe. Power ya PM ni kubwa sana!
Haya mkuu renal nimekupata ..... Najua nijibu Kama wewe ndio Kila siku hapa JF lazima litumie wasi hana Kama kumi PM hapa JF ... hive haya majina watu wanayotumia hapa wewe inakuaje kuwa ni wasichana?
 
Nakutakia kila la kheri, mungu awaepushie na vishawishi, furaha iwatawale.
 
katika siku zijazo ..na na uwepo wa jf hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana jf kati ya si na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana jf pembeni kwani ni zao la jf .
.viva jf
"in god we trust"
 
Natanguliza Hongera, Mlamua.
..Ila Mtoto wa Watu usimlishe Chips na Picha ya Samaki, ah sory, THAMAKII.
Kila linaloitwa la Heri.
 
kwa nini Ashadii? tumuombee Mtakatifu Ivuga ili ndoa yake iwe na amani na upendo......


Umebadilika rafiki.... Hio ndoa lazima tuende step by step bana..... maana naona SI hana mzaha....
 
Umebadilika rafiki.... Hio ndoa lazima tuende step by step bana..... maana naona SI hana mzaha....


kwenye Bold, Wasiwasi wako tu Rafiki..
kama Mtakatifu atakubali basi nimejitolea kuwa mpambe wake siku ya Harusi....
Ivuga upo????
 
kwenye Bold, Wasiwasi wako tu Rafiki..
kama Mtakatifu atakubali basi nimejitolea kuwa mpambe wake siku ya Harusi....
Ivuga upo????
kama wewe sio mlevu haina shida ..ila kama unapiga kielevi itakuwa sio njema ..si unajua.
 
Back
Top Bottom