Goli nyingi

MTITIMA

Member
May 31, 2011
23
4
Hi
Hivi ni kwanini wanawake wengi wa Kibongo wanapenda kupigwa bao nyingi katika mambo ya sita kwa sita?
Wenzetu wazungu wanapenda goli chache labda mbili but ziwe za uhakika je
Vyakula tunavyokula vinachangia?
 
Goli nyingi? Unataka kumkomoa au unajikomoa mwenyewe.

Labda kama huna kazi nyingine ya kufanya ndiyo utawaza kupiga magoli mengi.

Moja unapoenda kulala. Moja kati kati ya usiku. Moja unapo amka asubuhi. This is healthy. More then this is too much for both of you to bear. And this is done 2 or 3 times a week.
 
Inategemea duration: Kama goli moja ni 45 minutes atapenda kupigwa goli nyingi????
 
Back
Top Bottom