Gold Mining Equipments and Gold Trade

Mseriandy

Member
Mar 27, 2011
35
6
Ndugu wana Jf.

Salaams na heri ya Mwaka Mpya?

Jf imekuwa mwanga na ufunguo kwa watu kuwasiliana na kupeana mawazo ya maendeleo.

Kichwa cha habari hapo kinahusika. Kuna wawekezaji wanataka kuja kuwekeza kwenye kuchimba dhahabu.

Wao wana vifaa vya kisasa vya kuchimba, ambapo watavileta na kuwakopesha wachimbaji wadogo wadogo au kampuni ndogo za wazawa. Halafu pia wao watanunua hiyo dhahabu katika bei ya soko iliyopo.

Wawekezaji hao wanatoka katika mojawapo ya nchi zilizokuwa umoja wa WARSAW PACT.

Hata wale wanaochimba Tanzanite wanakaribishwa.

Karibuni, wenye maoni au wanaofahamu wachimba madini wenye vitalu halali kule kahama, kakola, geita, mara au popote tuwasiliane.

hii ni nafasi nzuri sana kwa wazawa
 
Back
Top Bottom