Gold Bullion Coins MSAADA

Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,067
701
Nilijaribu kuwekeza kwa kununua share kwenye makampuni matatu,kinachonisikitisha Dar Salaam Exchange (DSE) haijachangamka kabisa ukilinganisha na masoko mengine ya uliwemwengu wa tatu hususani Nairobi Stock Exchange ( NSE). Nimefikiria kuuza hisa zangu DSE na kwenda kununua NSE ( Nairobi) ila nasita

Kuna hii kitu inaitwa Gold Bullion Coins, nimejaribu kufuatilia na nashawishika ni uwekezaji mzuri na ambao unaweza kukurudishia pesa na faida.
Naomba wana JF mnisaidie kama kuna mtu mwenye taarifa zaaidi kuhusu Gold Bullion Coinsna kama kuna mtu ameshawahi kuzinunua.Ni nini faida na hasara za kuwekeza kwa kununua hizi Gold COINS. Na kwa kuanzia je mtu unaweza nunua Gold Coins za kiasi gani?
Shukrani
 
Back
Top Bottom