Godbless Lema shukuru Nyerere hayupo hai angekufunza adabu

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,123
1,921
Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga.

Serikali inapaswa ikushikishe adabu kwa kukukatia mianya yote inayokuingizia fedha ambazo leo hii unazidharau ili iwe funzo kwako na kwa wanasiasa wengine wenye kauli chafu kama zako.
 
Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga.
Serikali inapaswa ikushikishe adabu kwa kukukatia mianya yote inayokuingizia fedha ambazo leo hii unazidharau ili iwe funzo kwako na kwa wanasiasa wengine wenye kauli chafu kama zako
Sioni shida na hilo! Nyerere angelifanyaje? Cyprus man case haikuwa hivyo, yeye alisema serikali nimeiweka mfukoni maana nina fedha! Nyerere akamuweka detantion! That was not proper, ndio udikiteita, eti leo anataka kutangazwa mtakatifu!
 
Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga.
Serikali inapaswa ikushikishe adabu kwa kukukatia mianya yote inayokuingizia fedha ambazo leo hii unazidharau ili iwe funzo kwako na kwa wanasiasa wengine wenye kauli chafu kama zako
Uliangalia kipindi au umelishwa matango pori na Mzee Mgaya?
 
Mtoa hoja acha upumbavu, u can do better than this, sasa mimi nikikuambia anavuruga jina la Nyerere utaniona nakutukana,why dropping name ili mada yako isomeke na wengi?,Nyerere aliheshimu utawala wa kisheria na Judge Nyalali asingeruhusu manyanyaso ,Mr.Lema asingefanywa chochote unless angefunguliwa mashitaka kwa court, Dictator ni mmoja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom