Godbless Lema aitikisa Tarime; Kagasheki adai anachochea vurugu

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
Mbunge wa arusha mjini na waziri kivuli wa mambo ya ndani akiwa ameambana na mbunge wa vitimaalum chadema ester matiku leo walitembelea tarime kwenye yale mauaji ila kabla hawajaenda huko walienda kwanye ofisi za mbunge wa jimbo hilo na kuwachwa mdomo wazi pale mbunge wajimbo hilo na watendaji wake walipo kimbia ndipo lema na matiku wakaamua kwenda kwa mkuu wa wilaya napo huko walikutana na vizingiti

ila lema akamlazimisha mkuu huyo wa wilaya kumpa taarifa za awali ndipo mkuu huyo alipo ropoka na kusema hawa wananchi ni wajinga sana walistahili kuuwawa na lema akamjibu nashukuru sana hii itakuwa nimoja ya taarifa zangu.

lema na msafara wake ukawa unaelekea kwenye eneo la mauaji ndipo wakakutana na kundi kubwa la wananchi watarime wakamzuia lema na kusababisha umati mkubwa sana na wakamlazimisha lema kuhutubia ndipo lema alipo anzakuongea nao na baada ya hapo walimlazimisha lema kufanya maandamano ndipo lema alipo kataa kuepusha vurugu zaidi na hivyo lema akashindwa kuendelea na safari yake ya ukaguzi, kamanda LEMA alikuwa akitokea JIJINI MWANZA

Naikumbukwe pia LEMA ni waziri kivuli wa mambo ya ndani so alikuwa ameenda kutembelea eneo la tukio na ndipo alipo amua kufuata hizo taratibu kwa kumfuata mbunge wa jimbo hilo ili amueleze kilichotokea ndipo walipo ingia mitini .

SOURCE JF
 
Heko CDM mnaelekea kuzuri msikose kuwakilishwa kwenye matukio kama haya na kujifunza jinsi ya kutatua matatizo ya wananchi coz you are a government in waiting big up Lema.
 
Hebu jaribu kufafanua vizuri hii habari ni nzuri sana lakini hueleweki! Alikuwa anafuatilia nini, kwanini Mbunge alikimbia alifikiri ni kipigo tena au? Lema alitumia mamlaka gani kumlazimisha mkuu wa wilaya, tuna hamu sana kusikia kutoka huko maana vyombo vya habari wanatuyeyusha!
 
Atanyooshaje? hizi ni fani za watu, hawezi labda akopi na kupaste kutoka kwenye gazeti.
 
Jama wanaJF! (never) amejaribu kunyoosha lugha ila inaweza ikawa amezaliwa akiongea kiswahili na mara nyingi ni tofauti na mimi niliyezaliwa nikiongea kilugha na nikaenda shule nikajifunza Kiswahili km lugha ya Taifa na ndiyo mara nyingi wanatuharibia lugha yetu ya Taifa,Kama kuna mwenye akujua yaliyojiri hapo Tarime atujuze A-Z kwani inanisisimua sana ila thread ya Never hajasomeka tutakavyo. Twendeni Pamoja WanaJF.
 
jama wanajf! (never) amejaribu kunyoosha lugha ila inaweza ikawa amezaliwa akiongea kiswahili na mara nyingi ni tofauti na mimi niliyezaliwa nikiongea kilugha na nikaenda shule nikajifunza kiswahili km lugha ya taifa na ndiyo mara nyingi wanatuharibia lugha yetu ya taifa,kama kuna mwenye akujua yaliyojiri hapo tarime atujuze a-z kwani inanisisimua sana ila thread ya never hajasomeka tutakavyo. Twendeni pamoja wanajf.

dogo acha longo longo ndezi mkubwaa weeeeee, unaletewa habari unaleta usharobaro
 
Kwa waliongalia TBC1 news 8pm Kagasheki anaonekana ku-suggest kwamba vurugu za Tarime zinachochewa na chama fulani cha siasa. Pamoja na kwamba hakukitaja ni wazi kitakuwa CDM. Sasa Lema awe mwangalifu kidogo vinginevyo wakubwa hawa watambambikia vurugu hizi za Tarime.
 
Hivi nyinyi mnaotaka mleta habari anyooshe habari mnadhani members wote humu ni waandishi wa habari? ambae hajaelewa habari basi mwalimu wake alipata shida sana darasani.
Lema ni waziri kivuli wa mambo ya ndani, kwahiyo anahusika moja kwa moja kufuatilia kwa kina kujua ni nini kilichojiri. kwa nini watu mnapenda kutafuniwa ili mmeze tu? angaisheni bongo zenu.
 
Poleni sana mashujaa wa Tarime"marehem wangwe aliwahi kusema kwa kilugha nanukuu"ghusi mbulikya" akiwa namaana kutakuja kucha neema ipatikane Tarime, so let them kill people but they should know that "the freedom is coming 2moro"
 
Asante kwa taarifa mkuu.
swali ni kwanini unaleta habari ulizozitoa JF hapa JF? lol
:bump2::bump2:
 
kama ushaiona hapa JF basi ipotezee siyo lazima uchangie mkuu
Wee mkurya nn, unaulizwa kidogo unalipuka (rejea majibu ya kombani kwa Sendeka baada ya Masaju kujibu kiukali ), acha hizo, ungeweza kuomba uonyeshwe thread nyingine kama hii na sio kusema aipotezee, never
 
mbona kaeleweka au unataka uikariri hii habari?

Big up Lema, kwa sasa tz inahitaji siasa za mwendo wa Lema
 
Back
Top Bottom