chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,871
- Thread starter
- #41
mbona hujibu kuhusu Rwanda, unajaribu kuongeza mambo mengine ya sera za nchi iliyokwisha staarabika.
Mimi sio niliofanya huu uchunguzi mkuu,Mimi ni Mtanzania,lakini sijawahi kuona uchunguzi wowote mzuri katika mitandao kuhusu Tanzania,kuhusu Ruanda wanajibu wanyaruanda,kama Tanzania imeoza kwaninii hatukubali ili tutafute njia ya kujinusuru na majanga ili na sisis tupate sifa nzuri kutoka kwa wenzetu...