Gia ya kuhamia Dodoma ni kukwepa kuajiri watanzania

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Rais magufuli tangu aingie madarakani kila kitu kipo hovyo kasimamisha ajira kwa muda usiojulikana kwa kisingizio cha uhakiki kawarudisha waajiriwa wapya kwa kisingizio cha uhakiki kabla hayajaisha amerukia suala la kuhamia Dodoma ili kutufumba macho watanzania.

Hii ni hatari na nchi haina pesa bora aseme tu uhakiki 2020 watanzania hatutakosea kuchagua
 
Ili kufanikisha ilani na mipango yote ikiwemo ahadi kwa walio mikoani na Dar ni vema serikali iamie Dodoma. Hivyo toka Dodoma coordinations zitaenda vema.

Hii ni pamoja na hilo linalokuhusu la kuajiriwa wewe na wenzio.
 
Magufuli ni mjanja sana anasogea pole pole muda si mrefu tutasikia wizara fulani inahamia Chato
 
Bado Kuna shida ya madawati
Bado Kuna mapungufu ktk huduma za afya
Bado Kuna mapungufu ktk ukusanyaji wa kodi
.......unakimbilia dodoma bila kujipanga
 
Ili kufanikisha ilani na mipango yote ikiwemo ahadi kwa walio mikoani na Dar ni vema serikali iamie Dodoma. Hivyo toka Dodoma coordinations zitaenda vema.

Hii ni pamoja na hilo linalokuhusu la kuajiriwa wewe na wenzio.
mkuu ni mipango ipi ya kimaendeleo inashindwa kufanyikia dar es salaam ila inaweza kufanyikia dodoma
 
Hivi jamani watanzania mmelogwa na nani? Yaaani mambo ya msingi serikali inayofanya hamyaoni kweli?
 
Back
Top Bottom