Ghrama ya pasipoti imepanda?

TM65TZ

Member
Jul 20, 2009
15
0
Ni kweli, ghrama ya pasipoti imepanda kutokana na budget mpya ya june 2009??Formu ya kwanza ilikuwa 10.000tsh na wakati kupata ilibaki kama 40.000tsh. hii ndiyo iliviyo mimi nilijua lakini sasa kuna mtu kutoka Uhamiaji anasema bei imepanda?? ni kweli??
Naomba jibu haraka, asante,
 
Kwani hawatoi receipt?
 
Unajua kama unakaa porini kama mimi mbali na makao makuu unawategemea 'watu' ambayo wanjua njia kule Dar nidyo maisha.
 
waziri (Uhamiaji) husika anayo ruhusa kikatiba kutuynga sheria ndogondogo za kuongeza gharama kama za pass na kadhalika. Lakini huwa lazima atoe notice inayokuwa gazetted publicly for not less than 3-6 months kitu kama hicho(huwa wizra ya mambo ya ndani idara ya uhamiaji wanatangaza).
kwa hiyo ndugu yangu kama hujaona gazetini imetangazwa basi jua ni udalali.
 
Ni kweli,ila sometimes watu tunapenda sana kuendekeza madalali badala ya kufuatilia vitu vinavyotuhusu sisi wenyewe. Lazima wale cha juu ndio life ya madalali popote.
 
Gharama ya Passport imepanda kwa kiasi gani? We need to see figure here.
 
Back
Top Bottom